Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 11,348
- 17,872
Carly ulikuwa ugeuzwe fursa mwalimu wangu, umechomokea kwenye mdomo wa mamba..Ahsante kwa ufafanuzi mkuu, nimekutana sana na tangazo lao lakini imani yangu inagoma kuniunga mkono, haya mambo ya weka kiasi fulani upate mara 3 ya kiasi ulichoweka, huwa yananipita kushoto sijui ni uoga ama ni ujinga.!
Mwisho wa siku, yule mwenye maamuzi magumu ndiye atakayekula mema ya nchi.!!
Mr. Kuku afikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashtaka saba ikiwemo kufanya Biashara Haramu ya Upatu
Says S.O.T your student.. 🤣