Fahamu zaidi kuhusu kinga ya Ukimwi iitwayo PEP

Nenda kituo cha afya
Ila zinamawenge balaa
Njaa inauma 24hrs
Tumbo kuuma
Kichefchefu
Homa
Na kuhalisha kwa baadh ya watu
 
Hakuna dawa inayoitwa "PEP" ila kuna huduma inayoitwa PEP.

PEP ni HUDUMA ambayo anapewa mtu yoyote yule ambaye amekumbwa na mazingira hatarishi yanayoweza kusababisha akapata maambukizi ya virusi vya UKIMWI. Huduma huwa ni sahihi mtu kupewa ndani ya masaa 72 tangu kupatwa na kadhia hiyo hapo juu.

Katika kupewa huduma ya PEP muhusika ataanzishiwa dozi ya kumeza vidonge vya kufubaza virusi vya UKIMWI (ARV) kulingana na muongozo husika wa kimatibabu wa nchi husika.

Dawa za kufubaza virusi vya UKIMWI (ARV) zipo tofauti tofauti na zinafanya kazi katika "mechanism" tofauti tofauti kulingana na dawa husika, mara nyingi dawa hizi huwa zipo katika combination mfano ni :

Dawa 2 za ARV zimewekwa katika kidonge kimoja au Dawa 3 za ARV zimewekwa katika kidonge kimoja..

Kwa muongozo uliopo sasa, mtu anayepewa huduma ya PEP atapewa vidonge vya ARV ambavyo ni kidonge kimoja chenye combination ya dawa tatu

TLE (Tenifovir + Lamivudine + Efavirenz)

Hiyo dawa ya miwsho EFAVIRENZ ndo huwa inaleta shida maana side effects zake ni kumfanya mtu kupata maruweruwe na ndoto za kutisha.

Kwa kuliona hilo asa hivi kuna combination mpya ambayo ni TLD

(Tenifovir + Lamivudine + Doultagvir)

Kuondolewa kwa Efavirenz imefanya asa hivi kumeza ARV kwaajili ya huduma ya PEP ni jambo la kuvumilika kidogo tofauti na hapo zamani.
 
PEP ni HUDUMA ambayo anapewa mtu yoyote yule ambaye amekumbwa na mazingira hatarishi yanayoweza kusababisha akapata maambukizi ya virusi vya UKIMWI. Huduma huwa ni sahihi mtu kupewa ndani ya masaa 72 tangu kupatwa na kadhia hiyo hapo juu...
 
Habarini Wana Jf

Nana kuuliza na kusaidia kwa haraka kuhusu PEP, maana nasikia ikitokea umezini na mtu ambaye haumjui au wasiwasi nae afu ukameza PEP kama Ni muathirika unaweza okoka kupata VVU/UKIMWI.

Msada wa haraka tafadhali nikujua pia Bei na mahala zinapopatikana ntashukuru.

Umeshapata msaada Mkuu??
 
Oooh kumbe dawa zinazotumika ni ARVs!? Nilikuwa najua pengine kuna dawa kabisa zinazoitwa PEP
 
Hakuna dawa inayoitwa "PEP" ila kuna huduma inayoitwa PEP.

PEP ni HUDUMA ambayo anapewa mtu yoyote yule ambaye amekumbwa na mazingira hatarishi yanayoweza kusababisha akapata maambukizi ya virusi vya UKIMWI. Huduma huwa ni sahihi mtu kupewa ndani ya masaa 72 tangu kupatwa na kadhia hiyo hapo juu.

Katika kupewa huduma ya PEP muhusika ataanzishiwa dozi ya kumeza vidonge vya kufubaza virusi vya UKIMWI (ARV) kulingana na muongozo husika wa kimatibabu wa nchi husika.

Dawa za kufubaza virusi vya UKIMWI (ARV) zipo tofauti tofauti na zinafanya kazi katika "mechanism" tofauti tofauti kulingana na dawa husika, mara nyingi dawa hizi huwa zipo katika combination mfano ni :

Dawa 2 za ARV zimewekwa katika kidonge kimoja au Dawa 3 za ARV zimewekwa katika kidonge kimoja..

Kwa muongozo uliopo sasa, mtu anayepewa huduma ya PEP atapewa vidonge vya ARV ambavyo ni kidonge kimoja chenye combination ya dawa tatu

TLE (Tenifovir + Lamivudine + Efavirenz)

Hiyo dawa ya miwsho EFAVIRENZ ndo huwa inaleta shida maana side effects zake ni kumfanya mtu kupata maruweruwe na ndoto za kutisha.

Kwa kuliona hilo asa hivi kuna combination mpya ambayo ni TLD

(Tenifovir + Lamivudine + Doultagvir)

Kuondolewa kwa Efavirenz imefanya asa hivi kumeza ARV kwaajili ya huduma ya PEP ni jambo la kuvumilika kidogo tofauti na hapo zamani.

Dolutegravir
 
Bado hujatoa case study iliyoshiba taarifa sahihi,ni hisia tu hizo ambazo zinasababishwa na ukosefu wa uelewa sahihi.Kumbuka kwamba TB nayo ina dalili zinazofanana kabisa na zile ulizoambiwa kwamba ni za ukimwi,pia TB inaua.Na nilishakwambia kwamba TB ni mojawapo ya condition ambayo inaweza ika trigger vipimo kutoa majibu ya HIV+ kama ulinifuatilia vizuri,hivyo mtu anaweza asile ARVs lakini akafa kwa dalili kama zile ulizoambiwa kwamba ni ukimwi kwa sababu TB nayo inaua,na pia anaweza kumuambukiza mtu mwingine kama atalala naye kitanda kimoja(mfano akifanya ngono na mtu mwingine).

Mambo haya ninayoyaeleza huwa watu wengi wanaya bypass kutokana na kasumba(mindset) ya muda mrefu tangu mwaka 1984 HIV/AIDS ilipotangazwa,hivyo kasumba(mindset) hii imeshakomaa kwenye vichwa vya watu kiasi cha kuwa vigumu sana kuelewa jambo lingine tofauti na hilo wanaloelewa tangu kipindi kile.Fungua akili yako na ufuatilie taratibu utauona mwanga tu,ninakuhakikishia hilo.

Mimi nimeshawaachisha watu ARVs na wako vyema hadi leo hii hawatumii ARVs kwa muda mrefu,walioendelea kutumia walishakufa.Think about that.Hii ni nafasi yako ya muhimu sana kuelewa ukweli huu,na hutajuta kukutana na mimi humu JF.Ninakupenda ndio maana napoteza muda wangu kwa ajili yako na watu wako wa karibu.

Ukitaka kujua kwamba sibahatishi,subiri uone mtu aje kupinga kwa hoja anazozijua yeye halafu ujionee mwenyewe kitakachotokea.Hata madaktari nawakaribisha kama wanaona mimi napotosha waje hapa.Tunaenda hoja kwa hoja,sayansi kwa sayansi,vithibitisho kwa vithibitisho.Hakuna siasa.
Mh pagumu hapa
 
Hakuna dawa inayoitwa "PEP" ila kuna huduma inayoitwa PEP.

PEP ni HUDUMA ambayo anapewa mtu yoyote yule ambaye amekumbwa na mazingira hatarishi yanayoweza kusababisha akapata maambukizi ya virusi vya UKIMWI. Huduma huwa ni sahihi mtu kupewa ndani ya masaa 72 tangu kupatwa na kadhia hiyo hapo juu.

Katika kupewa huduma ya PEP muhusika ataanzishiwa dozi ya kumeza vidonge vya kufubaza virusi vya UKIMWI (ARV) kulingana na muongozo husika wa kimatibabu wa nchi husika.

Dawa za kufubaza virusi vya UKIMWI (ARV) zipo tofauti tofauti na zinafanya kazi katika "mechanism" tofauti tofauti kulingana na dawa husika, mara nyingi dawa hizi huwa zipo katika combination mfano ni :

Dawa 2 za ARV zimewekwa katika kidonge kimoja au Dawa 3 za ARV zimewekwa katika kidonge kimoja..

Kwa muongozo uliopo sasa, mtu anayepewa huduma ya PEP atapewa vidonge vya ARV ambavyo ni kidonge kimoja chenye combination ya dawa tatu

TLE (Tenifovir + Lamivudine + Efavirenz)

Hiyo dawa ya miwsho EFAVIRENZ ndo huwa inaleta shida maana side effects zake ni kumfanya mtu kupata maruweruwe na ndoto za kutisha.

Kwa kuliona hilo asa hivi kuna combination mpya ambayo ni TLD

(Tenifovir + Lamivudine + Doultagvir)

Kuondolewa kwa Efavirenz imefanya asa hivi kumeza ARV kwaajili ya huduma ya PEP ni jambo la kuvumilika kidogo tofauti na hapo zamani.
Vizuri, elezea pia kuhusu PrEP na tofauti ilyopo kati ya PEP na PrEP
 
Back
Top Bottom