SILENT ACtOR
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 627
- 181
Mwone Dr. Fiterawa -Buguruni stendi ni bingwa wa tiba-asili ya ulcers.
mkuu unasomwa na wengi hapa. Tunaomba maelezo zaidi kuhusu hiliMwambie kaka yako asipate shida ugonjwa alionao unatibika kirahisi na unga wa kiini cha ndizi iitwayo mkono wa tembo. Chukua ndizi aina ya mkono wa tembo pasua katikati utakuta kama mizizi/kiini toa kiini hicho anika ikauke twanga naupate unga mgojwa alambe mara tatu kwa siku atapona hata kama utumbo ume katika.......
iliandikwa humu jf dr mbegu ya parachichi ichene vipisi vidogo anika ikikauka saga unga wake kijiko kimoja tia kiini cha yai la kienyeji tumia 1x3. siku tatu, au mkojo wake akinge kwenye glass asbh anywa arudie kwa siku saba. jamani someni jf dr kila kitu kipo,