Matumizi na Faida za Asali katika afya ya binadamu

Pole sana Rubi na pia shukrani kwa kushare nasi hii hali uliyokuwa nayo na jinsi ulivyoikabili.
 
Samahani Rubi nilikuwa naomba uniambie hospital uliyogundua alegi yako pls if posbo!!
MUNGU ni MWEMA!!!!

Hapo kwenye redi ndugu ni kuwa nilikuwa nakohoa sana na kikohozi changu kilikuwa kikavu na sio kwamba nilikuwa siombi Mungu aniponye ndo yalikuwa maombi yangu kila uchao. Ila kwa kuwa tayari hiyo ilikuwa ndo hali yangu ya kukohoa sana so kama nina safari nikiingia kwenye daladala nafikiri na ule msongamano wa watu, vumbi na harufu mbalimbali za pafyumu na majasho hata kama wakati naingia nilikuwa sikohoi basi gari ikianza kuondoka tu nami naanza kukohoa kama safari ni ya mbali kwa kweli nilikuwa napata shida sana.

Hivyo nilikuwa najitahidi kukaa siti za mbele kwenye dirisha ili nipate hewa safi isichanganyike na manukato mengine kwa sababu tayari nilikuwa najijua udhaifu wangu na nikikohoa sana lazima ile hali ya kutapika inanijia sasa hapo hapo ndo niliuwa najisemea moyoni Mungu nisaidie nisitapike maana hapo nilikuwa najua nikitapika kama ndo nimetoka kunywa chai uwezekano wa kutapikia watu ni mkubwa. Ndugu utapike kwenye basi na hapo labda naende kazini au shule huoni kuwa ni usumbufu itabidi uanze kujikinga na Mitandio na ni hali inayokosesha raha si unajua kutapika kulivyo unavyojifosi na kutumia nguvu, lakini kikitulia kama sikohoi huwezi jua nakoa ila kwa ajili ya ule ukavu wa kikohozi kulikuwa na kitu kana kinanitekenya kwenye koo au nakua kama napaliwa theni nakiamsha. Eeh ndugu usiseme wanaosema Mapenzi kikohozi kuficha huwezi hawakukosea, unaweza ukafisha mapunye yaliyoko miguuni au kichwani kwa kuvaa suruali au wigi lakini sio kikohozi.

Kuna wakati ofisini walikuwa wananitania kuwa tukisikia tu mtu anakohoa tunajua umefika. Ukilala ukiamka asubuhi unasikia mtu anakwambia pole hivyo usiku wote amenisikia nakohoa halafu kikohozi hakilainiki aah ndugu, Mungu aeupushe duniani kuna mengi. Ukiwa Mzima shukuru Mungu. yaani kama sasa nilishasahau imebaki histori kuna watu wakikohoa vikohozi haviponi huwa wanakuja kuniuliza nilichotumia lakini kwa kuwa nilitumia mchanganyiko wa vitu nashindwa kusema direct kwa sababu hata kwangu kupona ilikuwa kama miujiza ya Muumba nilikuwa nimeshaikubali hali kuwa ndio sehemu ya maisha yangu na watu walishanizoea kuwa mimi mwana kikohozi.

Kwa hiyo jamani Mungu ni Mwema tusiache kumwomba kila uchao paliposhindikana yeye anaweza. Pia namshukuru dk. aliyenishauri kunywa maji mengi na dk. aliyegundua kuwa nina aleji ya vumbi so nijitahidi kujiepusha na mavumbi ingawa hayaepukiki barabarani lakini ndani hasa chini ya kitanda unauwezo wa kuyaepuka na nyakati za usiku tukiwa tumelala ndio tunavuta vingi mjue na ndio maana wanaokohoa wengi nafikikiri ikifika usiku ndo inakuwa balaa. Siku hizi aa niko happy maana bila hivyo ningemaliza mabucha kutafuta tiba.
 
Samahani Rubi nilikuwa naomba uniambie hospital uliyogundua alegi yako pls if posbo!!
MUNGU ni MWEMA!!!!

Ndugu niko nje ya Bongo ila siku moja huku ninakoishi nikiwa nimekwenda kwenye duka la dawa kununua dawa hizo nilizoandikiwa na daktari basi nilimkuta pharmacia mmoja amekaa sana TZ ingawa sio MTZ anaongea kiswahili vizuri tu sasa kwa kuwa mara nyingi tulikuwa tukikutana tunasalimiana basi mwenyewe tu nikajisemea aa hizi dawa kila siku zitakuja niua maana hazinisaidii ni bandika bandua tu. Basi akaniuliza kwani una shida gani nikwamelezea. Akaniambia kuna mama mmja yeye ni mtaalamu wa magnjwa ya ngozi hii ni kwa sababu pamoja ya kuwa nilikuwa nakohoa (nilitoka vipele kama vichunusi usoni ambavyo vilikuwa haviishi halavu vinaniwasha sana hasa kukiwa na hali ya joto pamoja na kutumia dawa mbalimbali bado tatizo likawa linazidi na pia nikawa nasumbuliwa sana na macho yananiwasha vibaya mno hasa wakati wa kiangazi nilimwona mtaalamu wa macho akanipima aknambia sina shida labda vumbivumbi akanipa dawa pia akaniambia niwe nasafisha macho na maji baridi sana kila yanaponiwasha nafuu ilikuwa kidogo sana.

So yule pharmacia akaniambia ukitaka kumuona binafsi (yaani sio ile ya hospitali) lazima umtafute akupe appointment ana hospitali nyumbani kwake private. Na ameshasaidia watu wengi ukikwama rudi niangalie jinsi nyingine ya kukusaidia. So akanipa namba yake nikamtafuta akanipangia siku nikaenda kumwona. tena kufika kwake akaniuliza nani kakupa namba yangu maana sio rahisi watu kujua na mara nyingi anakuwa Afrika Kusini, so si unaona kuwa ilikuwa bahati yangu na Mungu alikuwa ameamua kutenda kazi yake waliyoshindwa wengine.

Baada ya kumpa historia yangu na kumwonyesha mapito yote niliyopita ndipo akaniandikia vipimo baada ya majibu kutoka ndipo ikagundulika nina strong allege ya vumbi akaniambia hata hicho kikohozi nafikiri ni tatizo hilihili kwenye vyakula vingine ilikuwa ok na vipimo vingine ilikuwa ok na akaniambia hizo dawa ulizokunywa stop zitakuumiza yeye akaniandikia kutumia anti allegi ambazo kwa kweli baada ya fifteen days skini problen ikawa imekwisha na tatizo la macho likawa limepungua lakini kikohozi kikadunda nikarudi tena akasema hawezi kuniandikia dawa zingine kwa sababu anachojua tatizo langu ni vumbi nijitahidi niepukana na mavumbi, tena akaniambia na yeye ana hiyo shida ya allege ya vumbi aliwahi kuhangaika sana alipokuwa anasoma South Africa maana mganga hajigangi basi daktari akamwambia "unauhakika nyumbani kwako hakuna vumbi hata darini akwambia ha zikuwahi kuwazia kutoa vumbi darini basi anasema siku aliyotoa mavumbi kwenye dari ndio na shida yake ilipokoma.

Kwa kweli kuanzia hapo niliona kama kuna kitu kimeni-click kwenye nafsi yangu unajua kuzaliwa na tumaini jipya na furaha unayokuwa nayo moyoni tena hasa pale unapojua kinachousibu ni nini kwa kweli nilikuwa na amani na tumanini jipya!! ingawa kikohozi kiliendelea kunisumbua na tena ndio kilikuwa kinakomaa. nikaenda sasa kwa mtaalamu wa magonjwa ya vifua baada ya vipimo kuonyesha sina shida akanibadiliishia anti allegi na madawa mengine kibao vikadunda naye akasema aha dawa zitakuumiza sina jinsi akanipa bloncoline syrup ambayo nilikuwa nimeitumia mpaka basi. Siku moja nakumbuka nilikohoa sana usiku mpaka asubuhi naamka niko hoi basi nikaenda tu kwenye hosipitali ya karibu hizi za private nikamkuta dk. nikamwelezea anicheki akasema sina shida inaonekana hiyo allegi ndo inakusumbua sasa nikwambie uwe unakunywa maji mengi kila siku kadri uwezavyo akanipa dawa moja nakumbuka inaitwa neocodine kama sikosei inaleta usingizi ni balaa baada ya kuitumia hiyo dawa na kikohozi kipo nikajisemea aha yote ya nini sinywi dawa tena mimi ni maji na matunda tu kuanzia leo. Basi kuanzia hapo matunda, mboga, maji bila kikomo na tena nikikuta hawajanunua nakuwa mgonvi nawaambia hivi hamuoni ninavyohangaika. Basi ndo matokeo niliyowaeleza hapo juu.

Kwa hiyo na mimi sitaacha kumkumbuka dk. aliyegundua nina alegi ya vumbi, yule pharmacia aliyenipa namba na ushauri wa kunywa maji kwa kweli wabarikiwe. Na mimi naamini rafikio atapona kwa uweza wake Mola asikate tamaa na amwamini Yeye muweza yote la msingi afatilie vipimo kwa umakini maana naamini unapojua nini kinakusumbua ndipo na ufumbuzi unapatikana na pia unakuwa na tumaini. Shida huwa inakuja usipojua nini kinakusumbua huku ukiendelea kubadilisha dawa kila kukicha Mwisho wa siku una faint wakikuokota watakwambia maini, figo vimeharibika kumbe chanzo ni zile dawa mtu ulizokuwa unakunywa kila kukicha bila tahadhari.
 
MDALASINI NA ASALI
Asali inafahamika vema Duniani kote kama mojawapo ya silaha ya kiajabu katika kupigana na magonjwa na matatizo yatokanayo na uzee.
Sasa hivi, utafiti mpya umeonyesha kwamba uwezo wa asali unaweza kuongezwa maradufu kama itachanganywa na mdalasini wa kawaida.

Uchunguzi wa kina ufanywao kwa wiki na jarida la World News wa Tiba, wataalamu wa madawa yatokanayo na mimea pamoja na kijarida cha afya na lishe, imeonekana kwamba kuna dazani nyingi za umuhimu wa asali na mdalasini pamoja na michanganyiko {dawa} ya kusisimua iletayo afya bora.

Kama ifuatayo:

1. Ugonjwa wa Viungo/Maumivu na Uvimbe {ARTHRITIS}.

Wataalamu wa lishe wanapendekeza kuchukua kwa kutumia mchanganyiko wa sehemu moja ya asali pamoja na sehemu mbli za maji vuguvugu na kijiko kimoja {cha chai} chenye mdalasini - na kuchua sehemu zilizoathirika. Nafuu hupatikana katika muda wa dakika moja.

Vinginevyo tengeneza chai-kikombe kimoja chenye maji moto, weka vijiko vya chakula -viwili vya asali kwa kijiko cha chai cha mdalasini. Kunywa asubuhi na jioni ili kuondoa maumivu.

Katika tafiti iliyofanyika hivi karibuni na chuo kikuu kimoja huko Copenhagen, madaktari waliwapa wagonjwa 200, {syrup} mchanganyiko wa kijiko kimoja *cha chai* cha asali na kimoja cha mdalasini kila asubuhi kabla ya kifungua kinywa. Asilimia 73% yao waliripoti nafuu kubwa ya maumivu yao na ongezeko katika kufanya shughuli kama kujongea na kutembea vyema.

2. kukatika kwa nywele {HAIR LOSS}
Asali ikishachanganywa na mdalasini pamoja na mafuta vuguvugu ya olive, hutoa kichocheo maridhawa cha kuotesha nywele kinachotumika katika dawa ya Dork. Mchanganyiko huo vuguvugu unapakwa kwa kusugua kichwani na kuachwa kwa dakika 15.

3. Ukungu wa miguuni {FUNGUS}
Changanya kijiko kikubwa cha mezani cha asali, vijiko viwili vya mdalasini {vya chai}. Pakaa sehemu zilizoathirika usiku kwa muda wa nusu saa, kisha safisha kwa sabuni na maji. Shida yako itakwisha kwenye kipindi cha wiki moja.

4. Maamhukizo kwenye kihofu cha mkojo {BLADDER INFECTION}
Bilauri ya maji vuguvugu yaliyochanganywa na vijiko viwili {vya chai} vya mdalasini na kijiko kimoja {cha chai} cha asali huondoa bacteria kwenye kibofu. Unaweza ukatumia juisi ya cranberry badala ya maji ikiwa ambukizo la kibofu linakuwa sugu.

5. Maumivu ya jino {TOOTHACHE}.
Changanya sehemu tano za asali, na sehemu moja ya mdalasini na tumia kwa maumivu ya jino.
Dondoshea kwenye jino au meno yaliyoathirika hadi maumivu yatakapotoweka.

6. Vidonda vitokanavyo kwa mgonjwa kulala kwa muda mrefu {CANKER
SORES}.

Saladi ya kupaka vidonda iliyochanganywa na asali pamoja na mdalasini kwenye chai ya raspberry
nyekundu ni dawa nzuri ya kuondoa maumivu makali ya canker sores.
 
7. Helemu {CHOLESTERAL}
Kipimo cha helemu cha watu waliokuwa na afya nzuri {katika jaribio} kilishuka kwa wastani wa asilimia 10 katika muda pungufu ya masaa mawili baada ya kunywa bilauri moja {ounce 16} yenye vijiko viwili vikubwa vya mdalasini iliyochanganywa na chai ya moto. Kinywaji hiki kutwa mara tatu kilifanya kazi nzuri ya kushusha kiwango cha helemu mwilini.

Madhara yaletwayo na vyakula vyenye mafuta yanaweza kudhbitiwa kwa matumizi ya mara kwa mara ya chai hii pamoja na chakula chako. Hii imeripotiwa na mtafiti maarufu Dr Alexander Andreyed na Eric Vogelmann.

Ugunduzi wao uliyakinishwa kwenye jarida mashuhuri la kitiba la Denmark July 1994. vilevile/ aidha uchunguzi mwingine ulibayanishwa kutoa matumizi ya kila siku ya asali safi hupunguza viwango vya helemu.

8. Mafua {COLDS}
Mafua yameshaeleweka ya kwamba hupotea/huondoka baada ya masaa machache baada ya waathirika kutumia kijiko kimoja {cha mezani} cha asali vuguvugu iliyochanganywa na robo kijiko{cha chai} cha mdalasini, mchanganyiko huu ni mahususi katika kusaidia kuondoa chafya na kuvimba koo.

9. Ugumba {INFERTILITY}
Asali inaaminika kuamsha nyege na wapenzi wa jinsia zote mbili wanashauriwa kunywa anglao vijiko viwili {vya mezani} kila siku kabla ya muda wa kulala {usiku}.

Mdalasini umetumika kwa muda mrefu kwenye dawa za kihindi na kichina ili kuongeza uwezo wa uzazi kwa kina mama wenye kuhitaji kuzaa.

Kiungo hiki {mdalasini} huchanganywa na kiasi cha asali na kufanya mgando {paste} ambao hupakwa kwenye fizi za meno na kunyonywa na kuingia mwilini taratibu.

Familia moja iliyokuwa haina watoto iltumia mgando huu kwa mafanikio na kupata mapacha wa kike baada ya kushindwa kwa muda wa miaka 14 kupata mtoto. Walikuwa wameshakata tamaa ya kupata mtoto hadi waliposikia kuhusu mchanganyiko huu wa asali na mdalasini.

10.Mchafuko wa tumbo {UPSET STOMACH}
Asali imetambuliwa kwa kipindi kirefu kama dawa ifaayo kuondoa mchafuko wa tumbo pamoja na kichefuchefu. Ongeza kiasi kidogo cha mdalasini na hii tiba ya kimaajabu vilevile itapunguza maumivu yaletwayo na vidonda vya tumbo.

ll.Esidi/Gesi-Co2. Hco3. Hcl.
Kula asali pamoja na mdalasini huweza kuondoa mchafuko wa tumbo na utumbo uletwao na gesi kwa mujibu wa uchunguzi mahsusi iliofanywa huko India na Japan.
 
12.Ugonjwa wa Moyo {HEART DISEASE}
Unaweza kukinga kupata ugonjwa wa moyo na kuzuia mkusanyiko wa mtandao wa mafuta kwenye mishipa ya damu kwa kula asali na mdalasini mara kwa mara-kwa kupakaa wakati wa kifiingua kinywa.

Kula asali ya mkate wa ngano yenye nyuzinyuzi nyingi iliyopakwa kijiko kimoja {cha mezani} cha mchanganyiko huo hapo juu kila siku. Tiba hii ya maajabu iliweza kupunguza kuganda kwa mishipa ya damu kwa 74% ya wagonjwa waliokuwa katika nyumba za kutunzia wagonjwa - utafiti mmoja ulionyesha.

13. Shinikizo la damu {HIGH BLOOD PRESSURE}
Shinikizo la damu pamoja na matatizo yaambatanayo ya maumivu ya kifua na kizunguzungu yalitoweka kutoka kwa wagonjwa wengi wiki chache tu baada ya watafiti wa kitaliano kuwapa dozi za mara kwa mara za asali ilyochanganywa na mdalasini. Vipimo vya shinikizo la damu vilionyesha
ukawaida na wote 137 waliofanyiwa jaribio hilo waliripoti kujisikia vyema/vizuri baada ya wiki chache za tiba hii ya ajabu.

14.Kinga ya mwili {IMMUNE SYSTEM}
Kinga yako ya mwili itaongezeka mara tatu zaidi ikiwa utatumia mara kwa mara asali na mdalasini kwa pamoja - wataalamu wanasema.

Utafiti wa kitiba unaonyesha kwamba hazina kubwa ya vitamini{vivurutubisho} na madini pamoja na michanganyiko mingine iondoayo magonjwa pamoja na kinga itolewayo na chembechembe nyeupe za damu, husaidia kuzuia magonjwa pamoja na kuharibu vimelea {virus} na {bacteria}.

15.Ukosefu wa nguvu za kiume [Uhanithi]{IMPOTENCE}
Asali ina historia ndefu ya kuamsha uume pamoja na kuwa dawa madhubuti ya kuponyesha uhanithi.

Kutokana na uwezo wake kama kiamshaji/chaji, asali ilipigwa marufuku kwa makasisi katika baadhi ya dini za kimashariki mwa Dunia. Mwaka jana, watafiti wa kiaustralia waligundua kwamba asali ina uwezo wa kupeleka mwili kutoa homoni mbalimbali kama ilivyo kwa mdalasini, katika Africa na dunia ya kusini, mabaharia wamekuwa wakipaka asali katika sehemu zao za nje ya uume ili kuongeza stamina zao za kufanya mapenzi.

16.Kutokuchaguliwa kwa chakula {INDIGESTION}
Vijiko viwili vya asali iliyonyunyiziwa mdalasini kabla ya mlo{kula chakula} huondoa kiungulia na wataalamu wanasema kwamba asali husaidia kutolewa kwa juisi zinazotumika kuchaguliwa kwa vyakula tumboni na mdalasini unaongeza spidi ya kuchaguliwa kwa vyakula.

17.Flu {INFLTJENZA}
Tafiti moja ya kihispania imethibitisha kwamba aina ya dawa moja asilia ya ajabu ambayo huharibu vairasi {vimelea} waletayo Flu.

18.Umri wa kuishi {LONGERVITY}
Unaweza kuishi kufikia hadi miaka 100 na kufurahia maisha ya afya na madhubuti kwa kunywa kila siku kikombe baridi cha chai ya mdalasini na asali. Kutengeneza kinywaji hiki kitamu, weka vijiko vine{vikubwa} vya mdalasini katika vikombe vitatu vya maji na koroga kwa dakika 10. kunywa robo kikombe kutwa mara tatu au nne na hivyo utakuwa na kinywaji kingi.
 
19.Chunusi {PIMPLES}
Changanya vijiko vitatu vya asali pamoja na kijiko kimoja cha mdalasini na pakaa kwenye chunusi.
Uwezo wa asali wa kuua bacteria utaufanya uso wako kuwa kawaida katika muda wa wiki mbili.

20.Kuumwa na wadudu {kwa washawasha} wenye sumu Pakaa asali na mdalasini moja kwa moja kwenye sehemu zilizoathirika na rudia wakati mwasho unapokuathiri. Rudia tena hadi viuvimbe vinatoweka.

21.Madhara ya ngozi {INFECTIONS}
Fanya kama ilivyoelekezwa hapo juu. Rudia kufanya hivyo hadi hali itakapokwisha.

22.Kupungua kwa uzito
Wawezakufurahia vyakula vyote unavyopenda, kuwa na afya nzuri na kupunguza uzito wa mwili ambao hauhitajiki kwa kula chakula chenye nguvu na ladha nzuri, kilichojaa vitu viwili muhimu vya asili ambavyo ni asali na mdalasini.unachohitajika kufanya ni kuhakikisha unavitumia vyote kwa kiasi katika mapishi yako. Vilevile, wataalamu wanasema unaweza kuondoa mabonge ya uvimbe wa nyamanyama nje ya mwili kwa kuanza siku yako kwa kutumia vijiko viwili vya asali iliyochanganywa na kijiko kimoja cha mdalasini ndani ya bilauri ya maji vuguvugu. Rudia mchanganyiko huu kabla ya kulala.

Wakati wa kipindi cha baridi kinapokaribia, ambacho kinaambatana na mazoezi machache, kuongeza hivi vitu viwili vya asili katika chakula ni muafaka. Pia kinywaji hiki vuguvugu kimeshahakikishwa na wataalamu wa lishe kwamba hupunguza hamu ya kula pamoja na kuleta joto mwilini.

23.Saratani {CANCER}
Utafiti uliomalizika karibuni huko Australia na Japan, umeonyesha kuwa asali ina uwezo mkubwa katika tiba ya mgonjwa anayetumia madawa ya kutibu saratani.

Katika tafiti iliyofanywa kwa wagonjwa waliokuwa wanaugua kwa kiwango kikubwa saratani ya mifupa na tumbo, wale waliokuwa wakitumia kila siku dozi za asali na mdalasini, walionyesha maradufu kupata nafuu kuliko wale waliokuwa wakitumia wakitumia madawa ya sarakani pekee. "Tuliwapa kijiko cha mdalasini na asali kutwa mara tatu kwa mwezi".anasema Dr Hiroki Owatta. "Wengine waliendelea na milo ya kawaida".

24.Uchovu {FATIGUE}
Upo ushahidi mpya kwamba sukari asilia zilizopo kwenye asali zina uwezo wa kuongeza nishati mwilini. Zikitumika ipasavyo, sukari hizi zinaweza kuwasaidia wazee na wengine wanaosumbuliwa na uchovu, wataalamu wanapendekeza kuchauganya nusu kijiko cha asali katika nusu bilauri ya maji, nyunyizia mdalasini na kunywa masaa mawili baada ya kuamka asubuhi. "Kunywa tena saa 9 alasiri wakati nishati {nguvu}inapoanza kushuka" anashauri Dr Milton Abbozza ambaye kazi zake kuhusu asali na mdalasini kama kichocheo cha nishati mwilini zinatambulika kimataifa. "katika wiki moja hii itajionyesha".

25.Kuvimba Nyayo {SORE FEET}
Chua asali na mdalasini vuguvugu katika {miguu} nyayo zilizoathirika baada ya siku ndefu na kazi au baada ya mazoezi marefu. Rudia kila asubuhi halafu nawisha nyayo kwenye maji baridi na vaa viatu.

26.Harufu mbaya kutoka mdomoni
Waamerica wa kusini wanasukutua kwa kutumia asali na mdalasini pamoja na vuguvugu kila asubuhi ili kufanya harufu toka mdomoni kuwa nzuri na safi kiasilia. Katika Asia ya kusini mashariki, watu hula kijiko cha mdalasini na asali ili kuondoa harufu mbaya mdomoni {halitosis}. Wataalamu wanaamini kwamba uwezo wa kuua bacteria uliopo kwenye asali ndiyo unaopigana na harufu mbaya itokayo mdomoni.

27.Kupungua kwa usikivu {HEARING LOSS}
Dozi za kila siku za asali na mdalasini hufanya hali ya usikivu kuwa makini kama ilivyogunduliwa na Wagiriki wa zamani.

MDALASINI NA ASALI vinaweza kukufanya uonekane kama picha yenye afya nzuri kama ile ya mwonyeshaji mitindo ya mavazi na muigizaji sinema Jocqol Bell.
Mdalasini

girfah2.jpg


girfah1.jpg

girfah.jpg



 
Custard Ya Mdalasini


VIPIMO

Maziwa 2 1/2 Vikombe

Mdalasini wa unga 1 Kijiko cha chai

Mayai 3

Asali 1/4 Kikombe

Chumvi Kidogo (dash)

Vanilla 1 Kijiko cha chai
NAMNA YA KUTAYARISHA NA KUPIKA

1. Washa oveni moto wa 375F.


2. Weka vibakuli 6 maalum (remekins) vya kupikia kwenye oven , katika trei ya kuvumbika (bake).

3. Pasha moto maziwa, mdalasini na vanilla katika sufuria.

4. Chukuwa bakuli na uchanganye mayai, asali na chumvi pamoja.

5. Endelea kukoroga, huku unamimina ule mchanganyiko wa maziwa
kidogo kidogo hadi ichanganyikane vizuri.

6. Mimina custard kwenye vibakuli ulivyovitayarisha, kisha weka treya
kwenye mlango wa oveni na umimine maji ya moto (yaliyochemka) ili
itapakae chini ya vile vibakuli nusu yake.

7. Pika (bake) katika oven kwa muda wa dakika 30-40 au mpaka ukitovya kisu kitoke kisafi.

8. Ikisha iiva na kupoa, weka ndani ya friji na ikishapata ubaridi
itakuwa tayari kwa kuliwa.

 
Hii ya kupakaa asali ktk mtalimbo ndo naiskia leo. Scientfically imekaaje hii na unapakaa wakati wa game au kabla ?
 
Hii ya kupakaa asali ktk mtalimbo ndo naiskia leo. Scientfically imekaaje hii na unapakaa wakati wa game au kabla ?
Wakati wa kucheza game ndio unapakaa mtalimbo wako basi huyo mwanamke atajisikia raha tupu na joto litazidi na ndizi yako itakuwa na nguvu zaidi.
 
Nakushukuru sana mkuu, katika asali mie ni mmojawapo nimethibitisha hii kwa upande wa kupanda pressure, toka nimeanza kunywa mchanganyiko wa asali na maji ya moto asubuhi kwa kweli kuna mabadiliko ya hali ya juu, ila sikujua kama na mdalasini unachangaya, nitaanza pia kuuchanganya,
 
Back
Top Bottom