Fahamu kuhusu mafuta ya ubuyu...!jipatie mafuta ya ubuyu kwa bei nafuu...!

John locke

JF-Expert Member
May 6, 2012
828
1,262
MAFUTA YA UBUYU
(BAOBAB SEED OIL)
Ni mafuta yatokanayo na mbegu ya ubuyu {au kokwa}. Hukamuliwa kiini chake na kutoa mafuta. Utafiti huu umefanywa na Kampuni ya Essential Oil ya Afrika kusini. Mafuta ya ubuyu yana ubora kuliko mafuta mengine ya kupikia, yana vitamin A, B, C, D na F. Pia yanatibu magonjwa mbalimbali kama ifuatavyo:

1. Yanatengeneza seli zote ndani ya mwili.
2. Huzuia ngozi isiharibike wala kupata makunyazi.
3. Yanaondoa mafuta au koresto ndani ya mishipa ya damu.
4. Yanapunguza uzito ulizidi.
5. Yanarutubisha ini na figo.
6. Yanaleta hamu ya kula.
7. Yanaimarisha mifupa, kucha na nywele.
8. Yanaongeza kinga ya mwili {CD4}.
9. Yanaondoa sumu.
10. Yanatengeneza sukari iwe katika kiwango kinachotakiwa.
11. Yanasaidia kuona vizuri na kumbukumbu.
12. Yanapunguza vitambi na matumbo makubwa.
13. Yanavirutubisho vyote vinavyohitajika mwilini.
14. Yanaondoa madoa, chunusi, fangasi, upele, m’ba na muwasho.
15. Yanafaa kwa walemavu wa ngozi {albino}.
16. Huondoa hamu ya kutumia madawa ya kulevya.
17. Huondoa vidonda vya tumbo.

Endelea kutumia mafuta bora ya ubuyu, ni bidhaa asilia ya kitanzania. Ni mafuta yasiyochanganywa na kitu chochote, ni mafuta asilia.

MATUMIZI – USICHEMSHE.
1. Kwa wagonjwa wa kisukari tumia kijiko cha chakula 1 tu nusu saa kabla ya kula chochote kwa muda wa siku 15 dozi ya kwanza, na ya pili na ya tatu {kila baada ya siku 15 za kila dozi. Pumzika wiki moja na endelea kupima kila wiki}.
2. Kwa vidonda vya tumbo, figo na ini kunywa kijiko cha chakula 1 asubuhi kabla ya kula chochote na usiku kijiko cha chakula 1 kabla hujala chochote kwa muda wa siku 15 dozi ya kwanza, siku 15 dozi ya pili, siku 15 dozi ya tatu {kila baada ya siku 14 pumzika wiki moja}, baada ya dozi tatu kuisha anza kunywa kila wiki mara moja, asubuhi nusu nusu saa kabla hujala chochote kwa muda wa wiki nne, kisha kunywa kila mwezi mara moja asubuhi kabla hujala chochote kwa muda wa wiki nne, kisha kunywa kila mwezi mara moja, asubihi kabla hujala chochote kwa muda wa miezi sita mfululizo.
3. Kwa utoaji wa sumu kunywa kijiko cha chakula 1 asubuhi kila siku kwa muda wa siku 14, kisha kunywa kila mwezi mara 1 kwa muda wa miezi sita mfululizo.
4. Kwa kuongeza CD4 mwilini, tumia mafuta haya kama ifuatavyo:
Asubuhi kijiko cha chakula 1 nusu saa kabla ya kula chochote na usiku kijiko cha chakula 1 nusu saa kabla ya kula chakula cha usiku kwa muda wa miezi mitatu. Mgonjwa aanze kunywa baada ya kipimo cha mwisho alichopima.
Mafuta yanapatikana kuanzia ujazo wa lita moja na zaidi.

Kwa mawasiliano zaidi: Kama unahitaji naomba uni ‘PM.’ Au piga namba zifuatazo 0652-372462; 0718-134754.
​
 
Bei yangu ni nafuu sana. Hata huyo jirani wa mtaa wa pili anaagiza mzigo kutoka kwangu. Kwa hiyo usiogope kama unahitaji nipigie simu au ni PM.
 
Mawasiliano humu humu JF,wewe bana uko wapi? Dodoma au wapi? Sema tujue namna ya kukutafuta bana John locke. Bye 4 now!
 
Our site is kept current and was last updated 14 November 2011.

hiyo statement ipo kwenye website ya hao jamaa wa Essential Oils....last time wame-update hiyo website ni tarehe hiyo.

Je, hii information iko up to date kwa kiwango gani leo ikiwa ni 06-May-2013???
 
Lengo la kuweka hiyo website ni kuudhihirishia umma juu ya umuhimu wa mafuta ya ubuyu na si vinginevyo. Binafsi sina uhusiano wowote wa kikazi/kibiashara na website hiyo. Natumaini umepata maelezo ya kutosha kuhusu bidhaa hii ya mafuta ya ubuyu, hivyo basi kama umehamasika au kama unahitaji bidhaa hii wasiliana nami ili niweze kukupatia kwa gharama linganifu na hapa kwetu Tanzania.
Aidha, hizo information ni sahihi sasa kwa asilimia 100 kama zilivyokuwa hapo awali. Usiwe na shaka juu ya hilo, ama kwa uhakika zaidi waweza pata ushauri wa mtaalam yeyote wa afya hususani daktari.

hiyo statement ipo kwenye website ya hao jamaa wa Essential Oils....last time wame-update hiyo website ni tarehe hiyo.

Je, hii information iko up to date kwa kiwango gani leo ikiwa ni 06-May-2013???
 
MAFUTA YA UBUYU
(BAOBAB SEED OIL)
Ni mafuta yatokanayo na mbegu ya ubuyu {au kokwa}. Hukamuliwa kiini chake na kutoa mafuta. Utafiti huu umefanywa na Kampuni ya Essential Oil ya Afrika kusini. Mafuta ya ubuyu yana ubora kuliko mafuta mengine ya kupikia, yana vitamin A, B, C, D na F. Pia yanatibu magonjwa mbalimbali kama ifuatavyo:

1. Yanatengeneza seli zote ndani ya mwili.
2. Huzuia ngozi isiharibike wala kupata makunyazi.
3. Yanaondoa mafuta au koresto ndani ya mishipa ya damu.
4. Yanapunguza uzito ulizidi.
5. Yanarutubisha ini na figo.
6. Yanaleta hamu ya kula.
7. Yanaimarisha mifupa, kucha na nywele.
8. Yanaongeza kinga ya mwili {CD4}.
9. Yanaondoa sumu.
10. Yanatengeneza sukari iwe katika kiwango kinachotakiwa.
11. Yanasaidia kuona vizuri na kumbukumbu.
12. Yanapunguza vitambi na matumbo makubwa.
13. Yanavirutubisho vyote vinavyohitajika mwilini.
14. Yanaondoa madoa, chunusi, fangasi, upele, m'ba na muwasho.
15. Yanafaa kwa walemavu wa ngozi {albino}.
16. Huondoa hamu ya kutumia madawa ya kulevya.
17. Huondoa vidonda vya tumbo.

Endelea kutumia mafuta bora ya ubuyu, ni bidhaa asilia ya kitanzania. Ni mafuta yasiyochanganywa na kitu chochote, ni mafuta asilia.

MATUMIZI – USICHEMSHE.
1. Kwa wagonjwa wa kisukari tumia kijiko cha chakula 1 tu nusu saa kabla ya kula chochote kwa muda wa siku 15 dozi ya kwanza, na ya pili na ya tatu {kila baada ya siku 15 za kila dozi. Pumzika wiki moja na endelea kupima kila wiki}.
2. Kwa vidonda vya tumbo, figo na ini kunywa kijiko cha chakula 1 asubuhi kabla ya kula chochote na usiku kijiko cha chakula 1 kabla hujala chochote kwa muda wa siku 15 dozi ya kwanza, siku 15 dozi ya pili, siku 15 dozi ya tatu {kila baada ya siku 14 pumzika wiki moja}, baada ya dozi tatu kuisha anza kunywa kila wiki mara moja, asubuhi nusu nusu saa kabla hujala chochote kwa muda wa wiki nne, kisha kunywa kila mwezi mara moja asubuhi kabla hujala chochote kwa muda wa wiki nne, kisha kunywa kila mwezi mara moja, asubihi kabla hujala chochote kwa muda wa miezi sita mfululizo.
3. Kwa utoaji wa sumu kunywa kijiko cha chakula 1 asubuhi kila siku kwa muda wa siku 14, kisha kunywa kila mwezi mara 1 kwa muda wa miezi sita mfululizo.
4. Kwa kuongeza CD4 mwilini, tumia mafuta haya kama ifuatavyo:
Asubuhi kijiko cha chakula 1 nusu saa kabla ya kula chochote na usiku kijiko cha chakula 1 nusu saa kabla ya kula chakula cha usiku kwa muda wa miezi mitatu. Mgonjwa aanze kunywa baada ya kipimo cha mwisho alichopima.
Mafuta yanapatikana kuanzia ujazo wa lita moja na zaidi.

Kwa mawasiliano zaidi: Kama unahitaji naomba uni ‘PM.' Au piga namba zifuatazo 0652-372462; 0718-134754.
​
Du siku hizi inamaana inazuia uzee siyo? kila mtu anakuja na lake mara usile hiki mara kula hiki lakini watu ndo wanazidi kunenepeana tu. Kama huna nidhamu katika kula hata umalize mibuyu yote huwezi.
 
Wadau nami nawakumbusha, mafuta ya Ubuyu ninayo wenyewe mmejionea kazi zake hapo juu, pia unga liani wa juice ya ubuyu usiyo na mchanga unapatikana kwa wingi wake pamoja na sabuni zake. Napatikana Dodoma karibu na Dodoma Hotel, kwa walioko mkoa mwingine bidhaa hizi zitakufikia itakayoongezeka ni garama kidogo tu ya kusafirishia. Tupigie kwa namba zifuatazo 0712700280 au 0766550851
 
Back
Top Bottom