Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 20,593
- 30,686
Tundu Lissu tumetuma sisi watanzania huyo wenu katumwa na shetani gani ?Ni wazi Tundu Lissu anajiamini na ameshaaminishwa na wale waliomtuma kuwa atakuwa Rais, imefika hatua anasema wajaribu waone, hapatatosha na hapatakalika dunia nzima inaitazama Tanzania nini watafanya, amekuwa akitishia kuwa maamuzi yoyote ya kutokuwa yeye Rais yatawapeleka watu ICC..