Facts za wadada wenye ajira nzuri

1.Wengi wao ni single mothers
2. Wana confidence sana, waliolewa, hawaheshim ndoa, wanajua hata ukimuacha anaweza kuendeleza maisha
3. Wabishi sana wanajiona wanakaribia hadhi ya mume kwenye famila kwa kuwa nae ana kipato
4. Ukiwaoa sio kwamba kila siku utapata haki yako, Mara atakuwa kachoka, Mara kasafiri kikazi, mara kachelewa kurudi kazini nk
5. Wengi wao wanaolewa wakiwa wakubwa, umri umewapita
6. Wana midomo sana sio wasikivu kabisaa
7. Wanaume wengi wenye such wives wana michepuko, either lazma house maid akusaidie
8. Wavivu sana kupika na kufua, na 100% ya watoto wao wanawapenda ma
A weak man can't have a strong woman, he won't know what to do with her . Dawa msiwasomeshe mabinti zenu na mkaoe kijiji wale std seven. Kukaa mnawakandia wanawake wanaofanya kazi na waliopitia shida na majaribu wakafanikiwa katika maisha ni ishara ya udhaifu.
Ukiona huwawezi just know you are not man enough for them, waachie wanaume waoe hawa wanawake wanaojenga taifa.
Mnataka nini hasa, wanaume bwana sasa unataka ukifa au usipokuwepo basi maisha ya familia yasimame.
 
A weak man can't have a strong woman, he won't know what to do with her
emoji4.png
. Dawa msiwasomeshe mabinti zenu na mkaoe kijiji wale standard seven. Kukaa mnawakandia wanawake wanaofanya kazi na waliopitia shida na majaribu wakafanikiwa katika maisha ni ishara ya udhaifu mkubwa sana.

Ukiona huwawezi just know you are not man enough for them, waachie wanaume waoe hawa wanawake wanaojenga taifa. Mnataka nini hasa, wanaume wa siku hizi..... ??Tuwaelewe vipi? Sasa unataka ukifa au usipokuwepo basi maisha ya familia yasimame..... Wanao walelewe na nani???
 
A weak man can't have a strong woman, he won't know what to do with her . Dawa msiwasomeshe mabinti zenu na mkaoe kijiji wale std seven. Kukaa mnawakandia wanawake wanaofanya kazi na waliopitia shida na majaribu wakafanikiwa katika maisha ni ishara ya udhaifu.
Ukiona huwawezi just know you are not man enough for them, waachie wanaume waoe hawa wanawake wanaojenga taifa.
Mnataka nini hasa, wanaume bwana sasa unataka ukifa au usipokuwepo basi maisha ya familia yasimame.
You'r a hero my dear. ....mbona sisi tunaolewa na wanaume wasomi na tunajiamin, kwanini wao waoga sana? By the way asili ya binadamu ukiwa na chako unajiamni kuliko ukiwa unaomaba ''baby hela ya kiberiti" kila siku.
Mtu kuwa na tabia mbovu ni asili yake tu, ni wamama wa nyumbani wa ngapi wanashinda na mikanga hadi jua linazama wakiwa wananuka vikwapa?.
Wanaume wangapi wanalia lia humu kuwa wake zao wanawasumbua wakati wake hao wameishia darasa la nne?
Kama vipi wasiwasomeshe watoto wao wa kike ili waje kuwa wife material!
 
Huo
A weak man can't have a strong woman, he won't know what to do with her . Dawa msiwasomeshe mabinti zenu na mkaoe kijiji wale std seven. Kukaa mnawakandia wanawake wanaofanya kazi na waliopitia shida na majaribu wakafanikiwa katika maisha ni ishara ya udhaifu.
Ukiona huwawezi just know you are not man enough for them, waachie wanaume waoe hawa wanawake wanaojenga taifa.
Mnataka nini hasa, wanaume bwana sasa unataka ukifa au usipokuwepo basi maisha ya familia yasimame.
Msemo tu , mnakuwa na jeuri sana hata hapa unaendeleza jeuri si unaina mwenyewe?
 
Jeuri iko wapi, mambo yamebadilika nakupa ukweli uliopo tu.
Kinachowasumbua wanaume wengi ni kwamba unataka mwanamke awe kama mwanao unamtuma, unamkaripia, unampiga na unamtisha anatetereka... Ni sawa maandiko yanaagiza wanawake wawaheshimu waume zao wengi wanafanya hivyo na Wapo waliovumilia sana wakafika mahali wakachoka maana akili za wanaume wengi hasa wa kiafrika ni kwamba wao wajuaji wa kila kitu wanasahau na wanawake wana akili tena sana tu. Na mwanamke huwa anareact kutokana na unavyo-mtreat vinginevyo ni tabia yake tu.
Kuna wanawake bahati mbaya wameolewa na wanaume wapumbavu (kama nabali ktk biblia,stori ya Daudi) hawa wanawatetea waume zao na kuwafichia aibu lkn wanaume huwatesa ili kijitutumua kwamba wako juu. Mwanaume mwenye akili hatishiki na mafanikio ya mkewe, anajua kuna siku atasaidiwa, asilimia kubwa pesa ya mwanamke inatumika katika familia ataona vyombo atanunua n.k wakati baba analewa na kuhonga.
Ni vema muoe wanawake wa hadhi zenu na wanaowapenda, wanawake wenye mafanikio waachieni wanaume wenye akili.
Mkeo ni partner katika maendeleo ya familia sio mtumwa wala dobi, anatafuta hela ndo maana yuko bize. Tafuta msaidizi wa ndani au saidia kuziba gepu unaloona katika familia ikiwemo kusaidia kufua.
Hizi ni zama mpya, isaidie familia kwa kuipa mama mwenye kipato kizuri.
Uanaume wako uonekane katika matunzo na malezi bora ya familia.
 
Very Well Said...... PesaNdogo.
Pata like like like like like......!!!!
 
A weak man can't have a strong woman, he won't know what to do with her . Dawa msiwasomeshe mabinti zenu na mkaoe kijiji wale std seven. Kukaa mnawakandia wanawake wanaofanya kazi na waliopitia shida na majaribu wakafanikiwa katika maisha ni ishara ya udhaifu.
Ukiona huwawezi just know you are not man enough for them, waachie wanaume waoe hawa wanawake wanaojenga taifa.
Mnataka nini hasa, wanaume bwana sasa unataka ukifa au usipokuwepo basi maisha ya familia yasimame.
Mbona umepanic sana, pointless kabisa kwahiyo kijijini hakuna wasomi?? std 7 wapo hata mjini, halafu hapo sio wanawake wote ni baadhi yenu ukiwepo na wewe maana si kwa povu hili
 
Hivi ongezeko la thread za wanaume wakisema wanawake ni ishara ya nini kijamii??..
 
Kupigiwa hakuangalii mwanamke yukoje ni tabia tu ya mwanamke mwenyewe kujiachia kwa wanaume wengine. Hata huyo uliye naye unawezakuta unapigiwa tu bila wewe kujua. Wachunga kondoo na Mashekhi wanapigiwa itakuwa ww?
 
Back
Top Bottom