FACT: Watch a WOMAN eat an ice cream cone...

shem hata milioni hujafika...aaah utaweza!..sijui nimedandia kwa mbele...LOL
miss you shem!..

hehehe! Wewe tena hata ukidandia kwa pembeni usihofu. Miss u too shem, hiyo laki 9 ni wivu ujue sio hela. SI Unit yake bado kujulikana.
 
hehehe! Wewe tena hata ukidandia kwa pembeni usihofu. Miss u too shem, hiyo laki 9 ni wivu ujue sio hela. SI Unit yake bado kujulikana.

shem unajua kuuchuna ww!...ndo kaka anakaba ivo aisee...sio fresh hata shemeji zako twakosa muda wa kukutania bana!..
 
shem unajua kuuchuna ww!...ndo kaka anakaba ivo aisee...sio fresh hata shemeji zako twakosa muda wa kukutania bana!..

hehehehe! Shem wako kaniambia nisiingie jf, nitacheka cheka na kina nyani halafu nitatamani kula bagah.
Ukishasoma hii msg delete.
 
hehehehe! Shem wako kaniambia nisiingie jf, nitacheka cheka na kina nyani halafu nitatamani kula bagah.
Ukishasoma hii msg delete.

inagoma kudelete...imekuja kama kirusi...
 
naomba uformat pc yako plz... Nitakusaidia kuinstall programs.

Mammiy hao wanaokupigisha sound , waambie wasione "vimeundwa vyaelea !"
alafu technology mpya siku hizi tuna'atack from far distance!
Ni vitaulo na sabuni tu !
Watanawa kwa dkk 5 !
Kujikuna miaka mbili !
Chezeiya Judge wao !
 
Back
Top Bottom