Facebook Surpasses 1,000,000,000 Users; East Africa Lagged Behind!

XIII

Member
Aug 29, 2012
53
8
As Facebook announced that it hit the 1 billion users mark last week, becoming the world’s third largest “country,” penetration remains relatively low in East Africa and much of the rest of Africa.


However, this could be the next frontier for the social networking site to grow its business.


The rate of new users joining Facebook has been slowing down globally over the past few years, a new report by research analysts Jeffries Group shows that Read MORE »
 
Mhhh, ila inasemekana wanaofungua account zao kwa siku hawazidi milioni 50

Facebook wanaojaza ni totoz ambao wengi wao ni dents. Wangeweka orodha utakuta the majority ni watoto wadogo zaidi ambako michezo ya kucheza kitoto haizuiliki lakini ikiwa private kati ya mtu na mtu. Haitii shaka kwa vile mwanzilishi wa mtandao huo alikuwa mtoto pia hivyo kuvutia watoto wenzake. Huu nitandao wa social sio news kama vile Yahoo.
 
Kila member say 1GB space ni 1millionTB space ni ya kawaida sana. Website za kawaida zinakuwa hosted katika 2TB na kuendelea hadi unlimited space. Cha muhimu hapa ni progrmming tu na maintenance ya server uptime and smooth running.
 
East Africa yenyewe kwa ujumla hawafiki hao watu b1 labda watafute njia mpya ya kudanganya! wangesema watu wachache kwa pamoja wameweza kufungua new accounts za fb hadi kufikisha 1b
 
Huyu kinda Mark Zuckerberg, tangu aseme haamini kama kuna Mungu nilimtoa maanani kabisa. Nikachukua hatua ya pili kuifunga acc yangu FB, maana alikua amepewa target yakufikia watu kiasi flani naona amekamilisha japo sijui wale wenye acc tatu na zaidi wamewahesabu vp?
 
Facebook wanaojaza ni totoz ambao wengi wao ni dents. Wangeweka orodha utakuta the majority ni watoto wadogo zaidi ambako michezo ya kucheza kitoto haizuiliki lakini ikiwa private kati ya mtu na mtu. Haitii shaka kwa vile mwanzilishi wa mtandao huo alikuwa mtoto pia hivyo kuvutia watoto wenzake. Huu nitandao wa social sio news kama vile Yahoo.

Sure mkuu, hapo upo sawa kabisa.
 
Active users wako wangapi? Kua na 1bn users haimaanishi kua 1bn ppo are accessin facebook, mfano nina watu wengi nawajua walijiunga facebook lakini hawaitumii tena lakini hawajafunga account zao so do they put this into consideration as well wanapotoa statistics zao
 
Back
Top Bottom