FA Community Shield: Chelsea vs Man UTD

Pole wamezipata hao jamaa.....Mkuu naona kimya sana siku hizi..

Nilibanwa na majukumu mkuu,si unajua tena 2010 hii ni full kutangaza nia...ila kuanzia next weekend ntarudi kwa Ari,Nguvu na Kasi zaidi...Facebook sikuoni kabisa mkuu
 
Tunarudi kikazi zaidi this season. Ze Blues wameanza kuonja joto ya jiwe......Wasaaalam wapenzi wa soka JF!
 
Darajani mwaka huu itakuwa ni kilio, tunachemsha!
sema watamkumbuka sana ballack,alikuwa muhimu sana,wasipoangalia hata nafasi ya pili watakosa,nadhani msimu huu english premier ligi kombe aidha asilimia kubwa old trafford, au kiasi fulani emirates,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom