Watendaji wa EWURA leo walifanya ukaguzi katika vituo kuona kama vina mafuta au la. mwenye taarifa zaidi atuletee.
Maswali ya kujiuliza ni je mbona wamechelewa hivi? na mbinu wanazotumia kweli zinaendana na wakati?. Ni rahisi sana kwa hawa jamaa kudanganywa kuwa matank yaliyo ardhini yapo empty kwa kuunganishwa na matank ya siri ardhini kwa pipe na mafuta kuwa pumped kwenye matank hayo ta siri na kuacha yanayokaguliwa empty.
Kwa wale waliosoma Auditing wanakumbuka kwenye "Auditors Liability" and a London Oil Storage case.