ha ha ha! Yale yale ya Necta.Sasa sijui iyo formular itarekebishwa na hao hao waliokosea au watapewa wengine
Uyu mkurugenzi wa ewura anaadmit kuwa walikosea formular yaani nimechokaa!
Ukimwangalia usoni ni kama hayuko serious it is as if wadau wa mafuta wakikomaa bei itarudi kama ya zamani!
Alisemaje?Acha uongo, kasema wapi na saa ngapi? Kama hujaelewa kitu acha kukurupuka na ku post crap. Kama ni taarifa ya sa 2 usiku hata mm nimeona
huyu mkuu wa ewura inatakiwa akamatwe na kutiwa ndani. Kwenye kikao na wamiliki wa mafuta wameongea nini? Akaunti zake na bank statement zake za siku za karibuni zichunguzwe na wala rushwa wa pccb