Ewura kutumia milioni 500 kuwapeleka Mawaziri na wasaidizi wao nje!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
ufisadi mkubwa umeikumba mamlaka yetu EWURA ambayo tumekuwa tukiiomba wakamatane na hawa majangili wa kutopunguza mafuta..hakika imeniuhuzunisha leo hii wamepanda pipa kuelekea visiwa vya karribean kupata uhalali halisi wa mbei za mafuta na jinsi gani ya kukontuurrolu nishati yetu...katika msafara huo unaowachukua watu 10 ewura imetumia million 500 kuwasafirsha na kuwalipa posho wahusika ..katika hilo kuna mawaziri 3 wakiongozwa na ngeleja .mwandosya .kamishna ...mrindoko na wengine wengi ..katika hao mawaziri wanagawana sh million 15 kama posho na katika hao mawaziri wana wasaidizi wao 3 na wote wanalipiwa posho kabla ya kuendelea na list ya mkurugenzi wa ewura kamishna ...na nk..inasikitisha wakai tukiwa tunapiganania hali ya mafuta iwe chini watu ndio kwanza wanazidi kuendelea kula nchi more info ntawaletea kesho
SRC-KULIKONI
 
Last edited by a moderator:
1. Moderator hii ikae kwenye siasa,

2. Watu wanasema Tz ni maskini..wakati Tshs 500m zinatumika safari moja? Hawa wnasiasa Caribean wanenda kujifunza nini?????

Hivi mnajua rate ya perdiem kwa sasa kwa mkurugenzi na above ni karibu dola 500 kwa siku?

Huu ni ulaji tu mwingine!
 
ufisadi mkubwa umeikumba mamlaka yetu EWURA ambayo tumekuwa tukiiomba wakamatane na hawa majangili wa kutopunguza mafuta..hakika imeniuhuzunisha leo hii wamepanda pipa kuelekea visiwa vya karribean kupata uhalali halisi wa mbei za mafuta na jinsi gani ya kukontuurrolu nishati yetu...katika msafara huo unaowachukua watu 10 ewura imetumia million 500 kuwasafirsha na kuwalipa posho wahusika ..katika hilo kuna mawaziri 3 wakiongozwa na ngeleja .mwandosya .kamishna ...mrindoko na wengine wengi ..katika hao mawaziri wanagawana sh million 15 kama posho na katika hao mawaziri wana wasaidizi wao 3 na wote wanalipiwa posho kabla ya kuendelea na list ya mkurugenzi wa ewura kamishna ...na nk..inasikitisha wakai tukiwa tunapiganania hali ya mafuta iwe chini watu ndio kwanza wanazidi kuendelea kula nchi more info ntawaletea kesho
SRC-KULIKONI

Kama hii ni kweli basi ni vioja vya hali ya juu!!! Wameenda Carribean kutafuta bei ya mafuta katika soko la dunia!!!!? Mbona bei hiyo inapatikana kwa dakika chache tu kwenye mtandao!!!? Tunasubiri info zaidi.
 
..natafuta kazi EWURA sasa.

..TRA,TANROADS, na BOT, hakuna mpango.
 
Kama hii ni kweli basi ni vioja vya hali ya juu!!! Wameenda Carribean kutafuta bei ya mafuta katika soko la dunia!!!!? Mbona bei hiyo inapatikana kwa dakika chache tu kwenye mtandao!!!? Tunasubiri info zaidi.

Hili soko la Dunia liko wapi?
Halafu nilifikiri hii ni ziara ya kitaalamu zaidi
sasa huu msafara wa kiserikali unafanya nini?
Mafuta tunapata toka Mashariki ya Kati kama sikosei sasa Carribean kuna nini?
Na kama kudhibiti tunaweza kujifunza Msumbiji na hata Afrika Kusini wanafanyaje.
Naona hii issue EWURA washaifanya siasa na hela zitaliwa nyingi na bei hazitoshuka ng'o.
 
..halafu mimi nawashangaa sana wa-Tanzania. maandamano kupinga mauaji ya wapalestina tuko mstari wa mbele. sasa tuna matatizo ya bei ya mafuta, kwanini hakuna maandamano? kwanini tuendelee kuibembeleza serikali na ewura?

..wananchi wakiingia mitaani nawahakikishia serikali, ewura, na wafanya biashara, watajua hatutaki mchezo.

NB:

..Dr.Slaa,Zitto Kabwe,John Mnyika,Freeman Mbowe, Kitila Mkumbo, Shitambala, hamasisheni maandamano ya kuilazimisha serikali, na makampuni ya mafuta, wateremshe bei ya mafuta.
 
Last edited:
Hivi vile vijimstari vya kule CNN si wanaonyesha bei au?

Mi naomba kufanya usaidizi wa kubeba kabrasha yenye kuomba uhalali wa mafuta!

per diem...shabash!
 
Kila mtu anakula kupitia eneo lake, kesho tutasikia jamaa wa mambo ya ndani wanaenda UK kujifunza jinsi ya kuwalinda Albino.
 
Tunaposema ni bora mkoloni alivyokuwa anatawala, maana yake ni kuwa hata kama alikuwa mwizi hakuwa mwizi wa kijinga, yaani kutumia milioni 500 kwa kazi inayoweza kufanywa kwa simu na kupata info. Au kutumia moja ya ofisi zetu za ubalozi zilizoko karibu na huko kufanya kazi hiyo kwa ufanisi na gharama ya chini ya shilingi milioni 5. Ubaya zaidi ni kuwa hakuna atakayewajibishwa, au unaweza kuona watu kati ya hao wanakuwa promoted. ONLY IN TANZANIA.
 
Tunaposema ni bora mkoloni alivyokuwa anatawala, maana yake ni kuwa hata kama alikuwa mwizi hakuwa mwizi wa kijinga, yaani kutumia milioni 500 kwa kazi inayoweza kufanywa kwa simu na kupata info. Au kutumia moja ya ofisi zetu za ubalozi zilizoko karibu na huko kufanya kazi hiyo kwa ufanisi na gharama ya chini ya shilingi milioni 5. Ubaya zaidi ni kuwa hakuna atakayewajibishwa, au unaweza kuona watu kati ya hao wanakuwa promoted. ONLY IN TANZANIA.
 
ufisadi mkubwa umeikumba mamlaka yetu EWURA ambayo tumekuwa tukiiomba wakamatane na hawa majangili wa kutopunguza mafuta..hakika imeniuhuzunisha leo hii wamepanda pipa kuelekea visiwa vya karribean kupata uhalali halisi wa mbei za mafuta na jinsi gani ya kukontuurrolu nishati yetu...katika msafara huo unaowachukua watu 10 ewura imetumia million 500 kuwasafirsha na kuwalipa posho wahusika ..katika hilo kuna mawaziri 3 wakiongozwa na ngeleja .mwandosya .kamishna ...mrindoko na wengine wengi ..katika hao mawaziri wanagawana sh million 15 kama posho na katika hao mawaziri wana wasaidizi wao 3 na wote wanalipiwa posho kabla ya kuendelea na list ya mkurugenzi wa ewura kamishna ...na nk..inasikitisha wakai tukiwa tunapiganania hali ya mafuta iwe chini watu ndio kwanza wanazidi kuendelea kula nchi more info ntawaletea kesho
SRC-KULIKONI

Kwa kumbukumbu yangu haya ni maagizo ya JK wakati akihutubia ''..'' alisema 'nimewambia waende wakajifunze nawahakikishe bei ya mafuta inashuka'. Hata hivyo, Tanzania kunawachuma wengi sana na ukimuliza mchumi yeyote mzuri hili lipo kwenye finger tips atakupa why price ipo juu na nini kifanyike iwe chini au kwa nini oil pricing in Tz hairandani na grobal pricing.

Kwakuwa watu wanataka kuitumia kama opportunity kusafiri is not very bad kama wangewapeleka wataalamu kama part ya motivation kwani I'm sure majibu wanayo hata bila kwenda huko. On the other hand, 500 mil kwa watu 10 is on the very very higher side na aibu kwa wahisani tunaowaomba kila kukicha kisa masikini, this is not income poverty rather 'Poverty of Mind'.

Hatahivyo, tunauhakika bei katika soko la dunia imeshuka ila bado nchini mambo si swali? inamaana tatizo si la wazalishaji bali waagizaji nchini. Ukiliangalia swala hili kwa namna hii safari ya Caribean inaweza kosa majibu kama inaeconomic justification. Nami natoa rai kwa watanzania haya ndio mambo yakuandamana na kutaka majibu. Tusipoteze muda kufikiria mambo ya Gaza wakati hapa hapa kwetu mambo siyo shwari.
 
Back
Top Bottom