"EVRA" accuses "BALLOTELI" for rape..

Nilishtuka nikafikiri Evra kabakwa uwanjani baada ya skendo ya kudhalilishwa na Suarez uwanjani.
 
evra ni drama queen... kumbuka alivyoharibu world cup ya france kwa kuongoza mgomo

sasa anaweza kuja na kusema baloteli alimtongoza
 
Bora wangebakwa walipigwa DENDA! mpaka walisahau kulalamika Heri yake Mario kaamuwa kutangaza "Why always me" itabidi na Suarez awe anavaa kwajili ya marefa na Mabeki ambao soon watataka kuchonga kama Evra. ya Terry soon yataisha sababu Muengereza tena lake limesikika kwa ushahidi Antoni ataliachia sababu anaelewa mpira na ni washikaji. FA inabidi waanze kuweka sawa hayo matatizo kwa wote Si Black wala White wala wengineo. ni sawa na Hiphop weusi wengi wanatumia maneno ya ubaguzi.
 
evra ni drama queen... kumbuka alivyoharibu world cup ya france kwa kuongoza mgomo

sasa anaweza kuja na kusema baloteli alimtongoza
World Cup ya France iliharibiwa na kocha wao Raymond Domenich ambaye walifanya makosa baada ya kuchemsha kwenye Euro,Domenich alishindwa kuwadhibiti wachezaji ilifikia wakati Yoan Gourcouf akiwa na mpira hampi pasi Ribery.Gallas alimshawishi Domenich asimchukue Nasri WC.Domenich aliwaacha wachezaji kama Nasri,Vieira,Mexes
 
Back
Top Bottom