European Space Agency confirms Mars lander has been lost

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
Taasisi ya mambo ya anga barani ulaya imetangaza rasmi kupotea kwa kifaa kilichokuwa kikielekea sayari ya Mihiri(Mars), kilitakiwa kutua siku ya Jumatano.

Taasisi hiyo imesema kifaa hicho kilikata mawasiliano sekunde 50 kabla ya muda kilichotakiwa kutua.

Inasemekana kuna hitilafu ilitokea kwenye kifaa hicho, wanasayansi wa taasisi hiyo wanaendelea na uchunguzi ili kugundua kitu gani hasa kilitokea.

===================================

161011153637-artists-impression-of-the-schiaparelli-module-on-the-surface-of-mars2-exlarge-169.jpg

The European Space Agency (ESA) has confirmed the Schiaparelli spacecraft, which was expected to land on Mars on Wednesday, has been lost.

During a press conference on Thursday, scientists said that Schiaparelli stopped transmitting around 50 seconds before the expected landing.
The agency suspects something went wrong when the parachute was jettisoned: "The ejection itself appears to have occurred earlier than expected, but analysis is not yet complete," it said in a statement.

ESA's Director General, Jan Wörner, said Schiaparelli's primary role was to test whether they could successfully land a probe on Mars.
"Recording the data during the descent was part of that, and it is important we can learn what happened, in order to prepare for the future," Wörner said.

David Parker, ESA's Director of Human Spaceflight and Robotic Exploration said it's what they wanted from a test.

"We have data coming back that allows us to fully understand the steps that did occur, and why the soft landing did not occur," he said.

The probe was equipped with nine thrusters that were due to be activated for the last 30 seconds to help cushion the landing. But while they were confirmed to have been briefly activated, the agency believes they switched off sooner than expected.

The anxious wait
Scientists with ESA were anxiously waiting for news from Schiaparelli yesterday.

After a high-speed, fiery descent through the Martian atmosphere, scientists at mission control in Darmstadt, Germany, did not get a signal back from the 1,272 pound (577 kilogram) probe.

The mission, a joint venture between ESA's ExoMars program and the Russian state corporation Roscosmos, was primarily designed to test ESA's ability to land on Mars. The agency has a bigger mission, the ExoMars rover project, slated for 2020.

Sister ship is safe
Schiaparelli's companion craft, an orbiter with a much longer mission, successfully made it to orbit on Wednesday. The Trace Gas Orbiter will investigate the source of methane on Mars, which could be a sign of life or geological processes.

The orbiter adds to a fleet of spacecraft that are looking for signs of life on our neighboring planet.

The presence of methane is a signature of life on Earth, so the orbiting spacecraft will be trying to detect it and determine where it is coming from.

Adam Stevens, a researcher at the University of Edinburgh and the UK Centre for Astrobiology said methane may be produced by other processes but the mission will help "rule out some possibilities ... to tease out what is going on."

The Trace Gas Oribiter is expected to operate until 2020.

Source: CNN
 
Wenye sayari yao wamekichukua hicho kifaa kinaenda kuchunguza bila taarifa kwa wenyeji wake, subirien wakitengeneza wao wapange safari ya kuja katika sayari ya dunia, tutakimbiana sijui tutaenda wapi, wanasayansi wanataka kuleta janga kwenye hii dunia. MA-GIANT watashuka kwenye hii dunia tukageuka kuwa vitoweo kwa giant.
 
ila hawa wanasayansi watatuletea mataizo kunakitu gani wanataka huko basi wakajenge kanisa angalau huko ili wamwabudu Mungu
 
Wenye sayari yao wamekichukua hicho kifaa kinaenda kuchunguza bila taarifa kwa wenyeji wake, subirien wakitengeneza wao wapange safari ya kuja katika sayari ya dunia, tutakimbiana sijui tutaenda wapi, wanasayansi wanataka kuleta janga kwenye hii dunia. MA-GIANT watashuka kwenye hii dunia tukageuka kuwa vitoweo kwa giant.
Una uhakika gani Mars/space kuna viumbe? Una uhakika gani ni giants? Labda ni wadogo na hawana maarifa kutushinda sisi labda hawapo kabisa
 
Wenye sayari yao wamekichukua hicho kifaa kinaenda kuchunguza bila taarifa kwa wenyeji wake, subirien wakitengeneza wao wapange safari ya kuja katika sayari ya dunia, tutakimbiana sijui tutaenda wapi, wanasayansi wanataka kuleta janga kwenye hii dunia. MA-GIANT watashuka kwenye hii dunia tukageuka kuwa vitoweo kwa giant.
Ma-jiant!!! Duuh mbona unaongea mambo ya ajabu hivyo? Kugeuka kitoweo cha majayanti! Mmmmh
 
Tuendelee kusubiri majibu yao wataalam sisi kutengeneza sukari tuu inatushinda ndio tuhoji hayo mambo...
 
Viumbe wenye akili katika ulimwengu wote huu haiwezekani ikawa sisi tu binadamu. Watakuwepo sema mbali sana nje ya solar system. Afrika nasi tuanze uchunguzi wa anga za juu.
 
Back
Top Bottom