Europa: manchester united vs real betis, arsenal vs sporting

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
Droo ya 16 bora ya EUROPA imepangwa ambapo ni kama ifuatavyo

๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Union Berlin vs Union SG ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช
๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Sevilla vs Fenerbahce ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท
๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น Juventus vs Freiburg ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช
๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Leverkusen vs Ferencvรกrosi ๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡บ
๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น Sporting CP vs Arsenal ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ
๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ MAN UTD vs. REAL BETIS ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ
๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น Roma vs Real Sociedad ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ
๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ Shakhtar Donetsk vs Feyenoord ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ
 
Nawashangaa sana mashabiki wa Man u saivi wanavochukulia kama wana timu bora,hakuna timu pale ni nyakati tu za maji kujaa maji kupwaa ila msijipe moyo kuwa mna timu bora
Jishangae wewe mwenyewe jinsi unavyoteseka na sisi
 
Tuachieni my wetu
Sevilla_FC_flag.gif
 
Mkuu niamini hakuna timu palee,sema waingereza kwa maneno mengi na promo ya mdomoni ndio wako vizuri ila miaka mingi ulaya inatawaliwa na vilabu vya spain, Chukulia mfano rahisi ndani ya miaka kumi Uefa na Europa vilabu gani vimechukua mara nyingi halafu ndio uje uongee
Sasa sielewi hoja ipo wapi,kwan arsenal kachukua mara ngapi iyo europa na uefa ndani ya miaka kumi.??man u kachkua fa na europa,arsenal ambayo ndo nzuri je??kwa sasa man u ipo within makombe manne,arsenal je???
 
Man city kachukua mara ngap uefa na europa??
 
Arsenal ana wakati mgumu sana, Man Utd wana nafasi kubwa ya kutoboa ...
Unaikosea Sana heshima Arsenal, Arsenal hii ya kupress ,overload and possession huo wakati mgumu upi itaupata Europa?

Kumbuka hapo kuna urejeo wa Jesus & Partey

Kuna ongezeko la Trossard

Hii Arsenal ,man u dk90 aliingia box la Arsenal mara 13 tu, bukayo saka pekee aliingia box la man u mara 14
 
Iyo kupwa kujaa kwann isitokee miaka ya nyuma
Man u ile timu bado mbona ukweli upo wazi, tofautishen kupata matokeo na timu kuimarika kiushindan

Tumeona mechi karibu 10 man u anashinda 1-0 anazuia, tumeona hata na Leicester kashinda lakin Ten hag kalalamika wamecheza hajaridhishwa

Hata na Barca ni man u kapata matokeo but full performance ,man u ni wakawaida ,
 
Sasa sielewi hoja ipo wapi,kwan arsenal kachukua mara ngapi iyo europa na uefa ndani ya miaka kumi.??man u kachkua fa na europa,arsenal ambayo ndo nzuri je??kwa sasa man u ipo within makombe manne,arsenal je???
Mlishinda hivi hivi mkadanganyana mnautaka ubingwa ,mkaenda Emirates mkafanywa muonekane timu ya kawaida Sana
 
Back
Top Bottom