Golden Mpoleeee
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 572
- 206
- Thread starter
- #41
Aisee........:A S-coffee:
kwanini eti ulikombie..
so who is Priciple investigator, researcher, analyst, enumerator, data manager, accountant, na jina la hiyo research team???
shkamoo babu.
neno la bblia rahs kufunza tatizo tu kwenye utendaj.
kuna mtego ndani yake
Mimi, Afro na Fynest. . .
Wewe utakua wa kutuletea maji, chakula, kufanyafanya usafi na kutupangia vitu vizuri.
Jina. . . . WATEULE!!
kama yepi..
ndio maana nilisita.... maana nafikiria sasa utendaji kwa mwalimu ama kwa wanafunzi!!!! sijui nani alikuwa anashindwa kulitenda!! kichwa changu kinawaza leo!!
acha kujfanya mjuaj!
Eti ni kweli FF ni mwanaume?
Eti ni kweli Lizzy ni under 18?
Eti ni kweli Afrodenzi ni mke wa mwita25?
Eti ni kweli Invisible hapatani /hawaivi na Paw?
Eti ni kweli Rejao ni J. Makamba?
whaaaaaaat ?eti kweli hulali juu ya invisible?
:lol:....Mchungaji kwani wewe kanisani huwa haupokei sadaka....Unapenda hela Kama wabunge wetu
Ngoja niongee na Kurwa kwanza...lolOhhhh puhleeeeez.
Everywhere I go, I get free passes.
:A S embarassed::A S embarassed:......naona hutaki kunipa jibu....
mimi siupendi huo wimbo..
haina shida ila mniruhusu tu kuwa signatory wa account
Eti ni kweli FF ni mwanaume?
Eti ni kweli Lizzy ni under 18?
Eti ni kweli Afrodenzi ni mke wa mwita25?
Eti ni kweli Invisible hapatani /hawaivi na Paw?
Eti ni kweli Rejao ni J. Makamba?