Eti mtoto wa Nyerere

Hawa wapuuzi, hawabadilii tuu!! kila siku wanafikiri jinsi ya kuiba badala ya kufanya kazi shenzi zao.
 
Hawa wapuuzi, hawabadilii tuu!! kila siku wanafikiri jinsi ya kuiba badala ya kufanya kazi shenzi zao.

Wenzio kuiba ndo kazi yao, kwa mwezi wanaingiza ma-paundi na madola ambazo ni sawa na mishahara ya kazi yako legal ya miezi 27, ila kama tu take home yako sio chini ya Mil 1.7
 
Tatizo huyo mkulu hajafa wala hajaumbika

Yaani hapo ndo wanapotokea washikaji, wakiona hajafa basi wanatumia mbinu ya HAJAUMBIKA. Ngoja ajitokeze kichaa adai kuchangisha michango ya rambirambi za waliofiwa Arusha kwa jina la mkulu
 
Endeleza deal naye uone mwisho wake ni upi kisha tuletee taarifa:smile-big:

Nimemjibu Kaka kwa kifupi tu kuwa aniambie yuko nchi gani ili nimfuate tupange dili. HAJANIJIBU MPAKA SAA HIZI
 
inge kuwa mtoto wa jk ? Ahaaaaaa mbona watu wangemuelew na angewapata wengi tu sababu hiyo ni realistic zaidi
 
Back
Top Bottom