Eti kisa nina maumbile madogo! Nifanye nini mie?

Sweetlol

Senior Member
May 9, 2011
102
24
Nnamiaka 34 nilioa 2007!nnawatoto wawili.mke wangu amekua tatizo tangu sikutumeoana,baada yakuoana nae week 3 tu nilianza kujuta mpaka tukakutafuta talaka.tumekua tukigombana mara nyingi mpaka anarudi kwao tunasuluhishwa tunarudi tena.mwez wa 6 alinitukana sana na maneno machafu mengi nikanyamaza,baadae nnlimuomba aende nyumban akasalimie alivyoondoka nakufika nilimwambia sitaki kumuona tena afundishwe kwanza maana ya mume then atafute mume mwingine aishi nae,.jana sasa aliniomba arudi nyumban nikamwambia nimevumilia vyakutosha mahusiano yetu yameshaisha kitambo hata kama tulifunga ndoa kanisani ila hii imenishinda. nilikua sio mnywa pombe mpaka nikaanza kunywa.baada ya kumtumia message akaniambia.AMEKUA AKINIVUMILIA SANA NA MAUMBILE YANGU MADOGO LKN NIMEMUONA HAFAI.SASA NAJIULIZA SABABU NDO ILIKUA HIYO NDO MAANA ALIKUA ANANIDHARAU?

naombeni ushauri nifanyaje juu ya hili coz mwanamke huyu sinahamu naye tena yaani namuona kama mwanaume mwenzangu sasa.Je haya maumbile yangu yanaweza niletea shida nikipata mwanamke mwingine sababu sijawihi toka nje ya ndoa yangu na wanawake wote wanyumba hawajawahi niambia hili?je nnaweza kuyakuza?

kumbe wewe ni he??? Daaah utanisamehe, mi huwa nadhani wewe ni she! Pole sana kwa misuko suko ya ndoa... Endelea kusubiri watakuja wataalam kukupa ushauri zaidi.

Huyo mkeo kakuchoka kwani maumbile sio tija ingawa baadhi wanawake wanapenda maumbike makubwa kwani mapenzi ya ukweli hayajalishi jamaa ni mlemavu au ni mzima.wewe jipange na watoto wako maana unaweza kuta kuna mtu anamkuna na mshipa mkubwa ndo chanzo cha dharau hizo.jiulize wakati unamuoa nini haswa alikupendea ni kipato au la .....

wewe hasa ndiye mwenye wasiwasi na hayo maumbile yako. simama kwenye nafasi yako kama mume na endelea kuongoza nyumba yako. ulipomwambia aende kwao kisha ukampigia simu kuwa abaku hukohuko, ulikwepa wajibu wako kama mume! wajibu wa mume na mke ni relative, ukiuweza vizuri hata hayo maumbile yasingekuwa tatizo kati yenu.

amani iwe nanyi

mbarikiwe

Mmh...sidhani kama hiyo ndo issue, nahisi hamkua na mawasiliano mazuri katika mahusiano yenu! na mawasiliano mazuri mara nyingi huwa yanakuja pale ambapo mnakuwa na mapenzi ya kweli...mawasiliano haya hufungua mwanya wa kuambiana kila kitu baina yenu na ndio maana nimesema that is not an issue kwa sababu angekwambia mngejua mfanye nini na wala usingeshindwa!

Mimi nafikiri huyo mwanamke ameamua tu kukuumiza, na kukuondolea ujasiri ujione kuwa hufai! Hiyo ni sitaki bichi hizi...! Na huyo ni mwanamke mpumbavu ambaye anaibomoa nyumba yake mwenyewe! Binafsi siamini katika kuachana, naamini inawezekana mkayatengeneza na mkaishi kwa amani. Lakini yanawezekana, mkimtnguliza Mungu katika ndoa yenu! Pole sana na Mungu akusaidie.

Mwanaume hakimbii matatizo bana anakabiliana nayo mpaka yanaisha,kumfukuza sio tiba ya matatizo mpe nafasi nyingine alafu umuhoji kirafiki ili ujue kiini ni nini,akikueleza nini kimemfanya awe mcharuko uje utupe data tukupe maujanja.

Mzee umeshawai ku dooo na wasichana wangapi apo nyuma, kama yeye ni wa kwanza kusema we just take it ni maneno ya mkosaji

Pole sana kaka,samahani sana kama ntakua nimekuudhi na maneno yangu,kwani maumbile ndio mapenzi? unaweza ukawana ndogo kama pipi yakifua na still ukaweza kumridhisha mwenzio, ukubwa wa pua sio wingi wakamasi! jee ulimuweka mkeo chini ukamuliza kwanini anakua na tabia hiyo alokuanayo? hana haya mwanamke mzima anasema maneno hayo kua ANAKUVUMILIA MAUMBILE YAKO MADOGO! anamanisha yeye ana bwawa au kisima? hana adabu tuu huyo mkeo, ridhika na Mungu alichokupa usitake kuyakuza walakuyarefusha akikisha unamuanda mwanamke vilivyo , usimparamie kama unaedesha farasi.

kumbe wewe ni he??? Daaah utanisamehe, mi huwa nadhani wewe ni she! Pole sana kwa misuko suko ya ndoa... Endelea kusubiri watakuja wataalam kukupa ushauri zaidi.

najua hiyo sweet hapo ndio imekuzingua.....ha ha ha....dah....hata mimi imenishake kidogo.......kwa nini akachagua ID ya sweet lakini....?

Ingekuwa tatizo ni hilo kwanini alikubali ndoa.!! Atakuwa na sababu zake ila ametaka kukuharibu kisaikolojia.
Endelea na mambo yako siku akitaka kujirudisha mwambie asubiri hadi maumbile yako yakue au yake yawe madogo.

Nnamiaka 34 nilioa 2007!nnawatoto wawili.mke wangu amekua tatizo tangu sikutumeoana,baada yakuoana nae week 3 tu nilianza kujuta mpaka tukakutafuta talaka.tumekua tukigombana mara nyingi mpaka anarudi kwao tunasuluhishwa tunarudi tena.mwez wa 6 alinitukana sana na maneno machafu mengi nikanyamaza,baadae nnlimuomba aende nyumban akasalimie alivyoondoka nakufika nilimwambia sitaki kumuona tena afundishwe kwanza maana ya mume then atafute mume mwingine aishi nae,.jana sasa aliniomba arudi nyumban nikamwambia nimevumilia vyakutosha mahusiano yetu yameshaisha kitambo hata kama tulifunga ndoa kanisani ila hii imenishinda. nilikua sio mnywa pombe mpaka nikaanza kunywa.baada ya kumtumia message akaniambia.AMEKUA AKINIVUMILIA SANA NA MAUMBILE YANGU MADOGO LKN NIMEMUONA HAFAI.SASA NAJIULIZA SABABU NDO ILIKUA HIYO NDO MAANA ALIKUA ANANIDHARAU?

naombeni ushauri nifanyaje juu ya hili coz mwanamke huyu sinahamu naye tena yaani namuona kama mwanaume mwenzangu sasa.Je haya maumbile yangu yanaweza niletea shida nikipata mwanamke mwingine sababu sijawihi toka nje ya ndoa yangu na wanawake wote wanyumba hawajawahi niambia hili?je nnaweza kuyakuza?

Nadhdani ya kwake ni kuuubwa ndio maana imekuwa oversize.... Ngoma ikishafikia hapo tafuta alternative.. Pili cheki DNA ujihakikishie kama watoto ni wako maana huyo lazima ana jamaa alokuwa akimmega amini usiamini mwanamke wa kiafrika/kitanzania hawezi kukutolea maneno ya dharau kiasi hicho kama hana mbadala anayemridhisha.

Kama lipi Afro malizia basi?

Khaaa nawe nsha kutafunia..
Wataka nikusaidie kumeza pia..?

Haya labda
Ana mdomo wa sufuria
Badala ya tube ..
Anza kuangalia Dr.Ozzy show.
Anawatetea sana wanaume ikija
Kwenye mambo ya joystick ...
Take care .. :)

Khaaa nawe nsha kutafunia..
Wataka nikusaidie kumeza pia..?

Haya labda
Ana mdomo wa sufuria
Badala ya tube ..
Anza kuangalia Dr.Ozzy show.
Anawatetea sana wanaume ikija
Kwenye mambo ya joystick ...
Take care .. :)

Aksante mkuu kwa kunitafunia na kunilisha! Hadi nimeangalia chini maana nina aibu jamani!! Sasa Afro mie kaujuzi kangu na ka experience hakajaweza kubaini hizi tofauti za tube na sufuria.... Kumbe haya mambo ni kweli? mbona niliwahi kusikia zote size moja ila tu ufundi?

Average size ni inch tano
so wewe kusema madogo
jipime kwanza nchingapi?

Back
Top Bottom