Eti kakiivi hii ni kwel jaman

MUREFU

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,331
350
Habare wanathnker! Ninaomba mnisaidie na kama kunawanasayansi wanielimishe kwanini KISAMVU HAKIIVI KIKIKATWA KATWA KAMA KABICHI MPAKA KITWANGWE (hata ukitumia kuni meli 20)eti wanajamii inakuwaje hapo. Na je ni kisamvu tuu au kunamboga nyingine ya namna hii?
 
Back
Top Bottom