Eti jaji Lubuva anakemea siasa chafu kwenye kampeni

Kalunguine

JF-Expert Member
Jul 27, 2010
2,543
134
Jaji lubuva amefunguka leo mbele ya waandishi wa habari na kutishia kufuta kampen kwa chama kitakachofanya kampen chafu.
SWALI. LEO LUBUVA AMEKUA MWEMA KIAS HICHO AU ANAKWEPA MAKOMBORA YALIYORUSHWA NA NYERERE KWA MKAPA JUU YA KIFO CHA MWALIMU?
 
hana lolote mzee alikuwa na record nzuri alipokuwa mwanasheria mkuu sasa anakwenda kuichafua record yake yote kwa kukikubali cheo hiki ambacha anajua wazi kuwa CCM itakutumia kuhalalisha mauzauza yao na wewe ndio wa kubebeshwa lawama. ningeanza kumuamini kama angeanza kwa kumkemea mkapa alipomdhalilisha vicent nyerere kwy jukwaa la siasa madam alikaa kimya bado his claimof operating independent or impertial is still in question.
 
Back
Top Bottom