Eti hizi ndio sifa 5 zilimfanya Membe apewe ajira TISS

Kubali kataa ni moja ya giant wa kisiasa.

Ndio maaana msiba waks umechukuliwa kwa uzito mkubwa na serikali yako.
Serikali imechukulia ukubwa but si wananchi. Kuchukulia ukubwa kunategemeana na nani ana uhusiano gani na mhusika. Membe alikuwa mtu wa kawaida kisiasa. Ila kwa pia mipango ya kando ninyi mnaweza kuwa mmeumizwa.
 
Mamlaka zetu zinakuchagua sababu wewe ni mwanaccm mzuri na una mtu wa kukuweka pale ulipo

Back in the days walikuwa wana mchujo haswa. Before uvccm and likes hawajawa na nguvu.
Miaka hiyo taasis ilikuwa ina selection makini sana. Bm membe ni moja ya selection za kipindi hiko.
Kipindi cha jk na kuendelea ndipo taasis ilivurugwa na chama
 
Katika uhai wake marehemu aliweza kugombania Urais wa Tanzania bila kupitia chama cha siasa ambayo ni kinuyume na katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Serikali ilishindwa kushutukia hadi marehemu anaaga dunia.
 
Jasusi gani? Alikuwa tu Tiss kama Tiss wengine. Jasusi anaenda aibika na chama cha mchongo anatoka ccm. Anadhalilika tu eti atashinda dk ya 90
Yule hakuna jasusi sema wabongo wanapenda kumpamba mtu😀😀Kuna maana kubwa sana ya spy / jasusi ni intelligence officer anayefanyia kazi zake nje ya mipaka ya nchi yake,
 
Umeanza utani wako wakati unajuwa Taifa lipo kwenye majonzi ya kumpoteza mtu aliyepigania heshima ya Tanzania katika siasa na masuala ya kimataifa kipindi akiwa Waziri wa Mambo ya nje
Vita ilianzia wapi na kuishia wapi? Kuna waliokufa? Au Membe alinusuru wote? Mateka je?
 
1. Akiwa JKT alikuwa na uwezo mkubwa wa shabaha tena kwa kutumia mikono yote miwili akiweka bunduki kulia na kutumia mkono wa kulia kuvuta trigger au kushoto na kulenga kwa kiwango kike kike kuvuta trigger na kulenga kwa uwezo ule ule .

2. Wakati akijiunga JKT alikuwa na mkanda mweusi kama ule wa Rais Putin ambao alijifunza mapigano akiwa seminari

3. Alikuwa na uwezo mkubwa wa kudanganya na kujiamini sana mkimsikiliza lazima ikubali kumbe wapi ,aliweza kudanganya (nguvu ya ushawishi) bila kubainika ,hii ni moja ya sifa kuu ya jasusi

4. Alikuwa na uwezo wa kuficha hasira zake hata kama anapitia mateso makali au stresses

5. Ukiacha kufaulu sana shule hasa ya high school pia aliweza kunywa pombe kiwango chochote bila kulewa wala kuyumba na kukumbuka nini amesema na nini aliambiwa


USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Stori za vijiweni hizi
 
Yule hakuna jasusi sema wabongo wanapenda kumpamba mtu😀😀Kuna maana kubwa sana ya spy / jasusi ni intelligence officer anayefanyia kazi zake nje ya mipaka ya nchi yake,
Jasusi mkubwa hawezi kuwa vile. Wabongo wana ushamba mwingi sana.
 
1. Akiwa JKT alikuwa na uwezo mkubwa wa shabaha tena kwa kutumia mikono yote miwili akiweka bunduki kulia na kutumia mkono wa kulia kuvuta trigger au kushoto na kulenga kwa kiwango kike kike kuvuta trigger na kulenga kwa uwezo ule ule .
Vijana wengi waendao JKT kwa mafunzo wenye uwezo mkubwa wa kulenga shabaha wengi huajiriwa na majeshi ikiwemo Polisi wale wa defender akikulenga akikosa umrudie Mungu usitende dhambi tena
 
Back
Top Bottom