Eti, wimbo huu unaitwaje?

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Nimejaribu kuingilia kule kweny sport imekuwa ngum ndio nikakumbuka swala la utambuz wa melody mbalimbal pia ni tech. Sasa wakuu kuna wimbo flan si wa hapa nchini labda ni wakizulu unapart inayoimbwa hv
uuuuuuh uuuuuh awimba eh awimba eh... Ni sehemu hyo nnayoikumbuka naomba kujulishwa.
 
Mkuu ningumu sana maana nahakika hata wewe huna hakika kama umeandika sahihi maneno ya wimbo huo
Jaribu kujirekodi unaimba kwa kuguna au kupiga mluzi kisha atachi hapa labda mtu akisikia anaweza jua ni wimbo gani kama anaufahamu
 
kamata huo hapo.......

Last edited by a moderator:
mkuu jaribu kuangalia kwenye nyimbo za mariam makeba(mama africa).kuna wimbo fulani unaitwa mbube(imbube) au lion.nahisi unaweza fanikiwa.mia
 
Nimejaribu kuingilia kule kweny sport imekuwa ngum ndio nikakumbuka swala la utambuz wa melody mbalimbal pia ni tech. Sasa wakuu kuna wimbo flan si wa hapa nchini labda ni wakizulu unapart inayoimbwa hv
uuuuuuh uuuuuh awimba eh awimba eh... Ni sehemu hyo nnayoikumbuka naomba kujulishwa.

Beach boys: artist
The lion sleeps tonight: song
 
Unaitwa Mmbube-THE LION SLEEP TONIGHT umetumika pia ktk movie ya coming to america
 
Akhasanteni wakubwa nimejaribu kufanya kama mlivyoniambia nimefanikiwa wimbo ni The lion sleeps tonight na artist ni Beach boys. Thanks for dat
Na kuna wimbo mwingne ameimba kijana mmoja wa Nigeria kama sijakosea ila sehmu nyngi sana anamblame Mr Jailer kwamba hapendi jins anavyomtreat Sehem mojawapo huyu msanii anasema MR JAILER DON'T CALL ME A PRISONER so naupenda wimbo huu naomba kujulishwa unaitwaje na artist wake plz!
 
Nimejaribu kuingilia kule kweny sport imekuwa ngum ndio nikakumbuka swala la utambuz wa melody mbalimbal pia ni tech. Sasa wakuu kuna wimbo flan si wa hapa nchini labda ni wakizulu unapart inayoimbwa hv
uuuuuuh uuuuuh awimba eh awimba eh... Ni sehemu hyo nnayoikumbuka naomba kujulishwa.

Unaitwa a lion sleeps tonight, umeimbwa na Black Mambazo uko kwenye soundtrack ya Lion King
 
"The Lion Sleeps Tonight", also known as "Wimoweh" and originally as "Mbube", is a song recorded by Solomon Linda and his group The Evening Birds for the South African Gallo Record Company in 1939. It was covered internationally by many 1950s pop and folk revival artists, including The Weavers, Jimmy Dorsey, Yma Sumac, Miriam Makeba, and The Kingston Trio. In 1961, it became a number one hit in the U.S. as adapted by the doo-wop group The Tokens. It went on to earn at least 15 million US dollars in royalties from covers and film licensing. Then, in the mid-nineties, it became a pop "supernova" (in the words of South African writer Rian Malan) when licensed to Walt Disney for use in the film The Lion King, its spin-off TV series and live musical, prompting a lawsuit on behalf of the impoverished descendants of Solomon Linda.
 
Na kuna wimbo mwingne ameimba kijana mmoja wa Nigeria kama sijakosea ila sehmu nyngi sana anamblame Mr Jailer kwamba hapendi jins anavyomtreat Sehem mojawapo huyu msanii anasema MR JAILER DON'T CALL ME A PRISONER so naupenda wimbo huu naomba kujulishwa unaitwaje na artist wake plz!
 
anaitwa Asa ni msichana na wimbo unaitwa jailer .eeh swali la nyongeza....??
 
kuna wimbo flan wa jay z anapoimba ni kama anambless mother kwa kumcare tangu utoto na anamblame dady(papa) kuwa hakumcare kuna sehm anasema MOMA LOVES ME POPA LEFT ME na colus yake ni saut ya computer unaitwaje wimbo huu?
 
Thanx all great thinkers....naomba kufahamu wimbo huu ni zilipendwa na ni wa miaka ya 1960 hadi 1970 ni baada ya uhuru na unaimba......Tanzania yetu ni nchi ya furaha....naye mwalimu nyerere ndiye aliyeleta uhuru....... tanzania yetu ndiyo nchi ya furaha.....Unaitwaje na nani aliuimba miaka hiyo....sometimes uko kwenye tangazo la hamasisho la miaka 50 ya uhuru MLIMANI tv please great thinkers
 
Mkuu ningumu sana maana nahakika hata wewe huna hakika kama umeandika sahihi maneno ya wimbo huo
Jaribu kujirekodi unaimba kwa kuguna au kupiga mluzi kisha atachi hapa labda mtu akisikia anaweza jua ni wimbo gani kama anaufahamu
exactly
 
Thanx all great thinkers....naomba kufahamu wimbo huu ni zilipendwa na ni wa miaka ya 1960 hadi 1970 ni baada ya uhuru na unaimba......Tanzania yetu ni nchi ya furaha....naye mwalimu nyerere ndiye aliyeleta uhuru....... tanzania yetu ndiyo nchi ya furaha.....Unaitwaje na nani aliuimba miaka hiyo....sometimes uko kwenye tangazo la hamasisho la miaka 50 ya uhuru MLIMANI tv please great thinkers
Mkuu nimeutafuta sana hu wimbo bila mafanikio, kila nikigoogle "Tanzania yetu ni nchi yenye furaha" napata link nadownload ngoma ya asili tu.
Nautafuta sana niuweke kwenye library yangu ya zilipendwa, na leo akina Masanja ze komedi wameuimba bana,
Mwenye kuujua tafadhali atusaidie link au hata kuu upload
 
kuna wimbo flan wa jay z anapoimba ni kama anambless mother kwa kumcare tangu utoto na anamblame dady(papa) kuwa hakumcare kuna sehm anasema MOMA LOVES ME POPA LEFT ME na colus yake ni saut ya computer unaitwaje wimbo huu?
unaitwa blueprint
 
Thanx all great thinkers....naomba kufahamu wimbo huu ni zilipendwa na ni wa miaka ya 1960 hadi 1970 ni baada ya uhuru na unaimba......Tanzania yetu ni nchi ya furaha....naye mwalimu nyerere ndiye aliyeleta uhuru....... tanzania yetu ndiyo nchi ya furaha.....Unaitwaje na nani aliuimba miaka hiyo....sometimes uko kwenye tangazo la hamasisho la miaka 50 ya uhuru MLIMANI tv please great thinkers

ngoja nicheck kwenye library ya wazee nikipata nitakupa jibu
 
Back
Top Bottom