Ester Bulaya naye amtosa Zitto!

kipuri

Senior Member
Jan 27, 2012
155
27
Mbunge wa viti maalum Ester Bulaya (CCM) nae amekanusha kumpigia debe Zitto kwenye Urais.

Kupitia ukurasa wake wa Facebook, ameandika;

Nasikitika sana kuambiwa kuwa nimempigia debe urais mh Zitto Kabwe. Huu ni uwongo wa kutupwa!

Tulienda Kigoma kuwaunga mkono wasanii wa Kigoma walioamuwa kwenda kuchangisha fedha za ujenzi wa kituo cha vijana.

Nilienda kama mbunge wa vijana kwa ajili ya kuunga mkono vijana wenzangu. Huu ni uzushi mkubwa. Natambua kila chama kina utaratibu wa kupata mgombea urais
Nawasilisha
 
Mwambie naye aache USHAMBENGA kwa nini alifuatana na Halima Mdee? Yeye Zitto kamwita Halima yeye kaenda kwa niaba ya nani asifukunyue mengine ngoja tuusubiri mkanda
 
si amesema alienda kuwa-support vijana wenzake
 
Mwambie naye aache USHAMBENGA kwa nini alifuatana na Halima Mdee? Yeye Zitto kamwita Halima yeye kaenda kwa niaba ya nani asifukunyue mengine ngoja tuusubiri mkanda

hawa ni mashost wa muda mrefu tu
 
Mwambie naye aache USHAMBENGA kwa nini alifuatana na Halima Mdee? Yeye Zitto kamwita Halima yeye kaenda kwa niaba ya nani asifukunyue mengine ngoja tuusubiri mkanda

Hujui mahusiano ya halima mdee na ester blaya! nikama 1+1= 1
 
Mbunge wa viti maalum Ester Bulaya (CCM) nae amekanusha kumpigia debe Zitto kwenye Urais.

Kupitia ukurasa wake wa Facebook, ameandika;

"Nasikitika sana kuambiwa kuwa nimempigia debe urais mh Zitto Kabwe. Huu ni uwongo wa kutubwa tulienda Kigoma kuwaunga mkono wasanii wa Kigoma walioamuwa kwenda kuchangisha fedha za ujenzi wa kituo cha vijana. Nilienda kama mbunge wa vijana kwa ajili ya kuunga mkono vijana wenzangu. Huu ni uzushi mkubwa. Natambua kila chama kina utaratibu wa kupata mgombea urahisi"

Nawasilisha

Utakuwa mchina kama siyo mgiriki, namkumbuka mzungu mmoja alikuwa akichapia kwa free style yako Mkuu
 
Back
Top Bottom