respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,557
- 3,835
Huyu ndiye anayejiita Sokoine wa pili.???
Poor Mwigulu Nchemba, Poor Government, Poor Tanzanans....!!!!!
Jiulize ni wapi ktk historia alipata kumuona Sokoine akiwasamehe wezi na kuwataka walipe kodi kwa wizi walioufanya. Tena anatakiwa waache kulidhilisha jina la Edward Moringe Sokoine We had only one Prime Minister Only one Sokoine...!! Mwigulu kaoge kwenye bwawa la damu ya Nguruwe Either nenda hata mara tano kwa Tb Joshua huwezi kamwe tena haustahiri hata kufuta viatu viatu vya Sokoine achia mbali kujifananisha naye.
Tukana matusi yote lakini kujifananisha na Sokoine ndilo tusi kubwa ulilowatukana Watanzania hususani sisi WATANGANYIKA, na hili tumelitbibitisha kwenye hili sakata la Escrow.. Hivi kama Fedha za Escrow zilikuwa halali kwanini mlimtimua mama Anna Tibaijuka? kwanini Mlimsimamisha Maswi Eliakim??
Leo unasimam mtu mwenye upungufu wa Credibility na kuwataka wat walipe kodi kwa fedha zilizowafanya waachie Nyadhifa walizokuwa wakishikilia Serikaini... How comes?
Wewe tulishakutambua ni gaidi mwenye Ushahidi duniani hata Mbinguni, kwa hilo hakuna anayekuhoji wala kusimama kupigia kelele. Lakini kisimama Mbele ya kafamnasi na kujiita wewe ni Sokoine wa pili... Tutakupinga Mbinguni na Duniani...!!
BACK TANGANYIKA

Last edited by a moderator: