Eric Shigongo bado anaendeleza vita ya maneno.

KUN

JF-Expert Member
Oct 17, 2011
382
80
Nimesoma moja ya Column kwenye gazeti la Championi la leo yenye kichwa cha habari " Chamelleone atapeli tena Norway"
Nimejiuliza maswali mengi lakini nimekosa majibu ya uhakika, binafsi me ni msomaji wa magazeti ya shigongo sana sana hili la Champion. Wiki kadhaa zilizopita hili gazeti lilitoa makala 5 mfululizo likimchafua huyu mwanamziki wa uganda Chamellione hasa kwa kile kinachosemekana kuwa ni tapeli na kwakuwa yeye hana gazeti hapa nchini hatukupata fursa ya kuona kile ambacho yeye angejibu hizo tuhuma zilizoibuliwa na shigongo, katika ule mfululizo wa kumwandika dotor chamellion kwenye hilo gazeti alijitokeza DJ mmoja akidai kuwa aliwahi kutapeliwa na huyo camellione miaka ya 2006, Sijui km habari hizo zilikuwa zikiandikwa kwenye magazeti mengine ya udaku ya shigongo maana mimi sio shabiki wa hayo magazeti mengine k.m Uwazi, ijumaa n.k

kilichoandikwa kwenye gazeti la leo la championi kimeibuliwa kwenye ukurasa wa DR JOSE CHAMELLIONE wa FACEBOOK, ambapo alipost status yeye mwenyew akionesha kulalamikia baadhi ya mapromota wa muziki hasa akimlenga huyo wa Norway kuwa ameshindwa kufanikisha zoezi la viza ili yeye aweze kwenda nchini humo na kufanya shoo. hiyo status iliptata wachangiaji wengi, baadhi walimuunga mkono wengine hawakumuunga mkono na wengine hawakuonesha walikuwa upande upi!!!

kwa sababu ya chuki Shigongo aliyonayo kwa DR, akaamua kuitengeneza kuwa habari kisha akacopy na kupaste baadhi ya comments za watu ambao hawakumuunga mkono DR kwenye gazeti lake, nahisi sababu ilikuwa ni kuendeleza vita yake ne Jose na kuiaminisha jamii kile ambacho aliibua kuwa ni cha kweli......

Nina maswali mengi ya kumuuliza Shigongo ila ningependa nimuulize swali moja tu...Pengine DR. JOSE ni tapeli au siyo kwa sababu hajawahi kunitapeli, yeye shigongo anaamini kuwa yeye ni msafi? hajawahi kumdhulumu au kumtapeli mtu yeyote tangu ameanza biashara yake? Sigongo yeye anaamini mtu safi?


tafadhali Shigongo nijibu swali langu.
 
kile kilabu chake siku hizi ni danguro.
kaona makanisa siku hizi hayalipi kaamua kufungua danguro Mbagala.
MLOKOLE HUYO

Mkuu hiyo dar live huyo msukuma kawekwa tu
Mmiliki ni KAKA YAKE MWANA ASHA
 
Huyu jamaa huwa simweliwi kabisa ulokole+maudaku yake(ambayo mengi ni uongo mtupu) +hyo kilabu ya pombe... = (). Naungana na mtu mmoja aliesema ana pesa but ushamba haumtoki. Huo ulokole ni danganya toto.. Ptuuuuu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
DR. JOSE:

I HATE PROMOTAZ WHO BLAME ARTISTES FOR THEIR AMATEURISM!!

THE NORWAY ONE IS ONE OF THEM HE GOES AHEAD ORGANISES A SHOW AND FAILS TO GET ME A VISA, what does he do?
HE CALLS ME A THIEF UPON HIS OWN FAILURE.

YOU CAN'T USE AMATEUR SKILLS PROFFESSIONALLY!
Get a life!
 
Back
Top Bottom