Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Kamati ya Olympic Tanzania Mzee Erasto Zambi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwake ubungo kibangu DSM habari zaid simu no 0652034505
RIP Erasto Zambi. Nakumbuka nilisoma na mwanae Lutengano sec school back in 80's Poleni sana wafiwa!
Jina limenitoka... kitambo sasa ilikuwa ni mwaka 1985-88mwanae yupi?
Nikajua mbunge wa Mbozi. RIP MZEE ZAMBI