Epuka kufanya mapenzi bafuni au chooni

Basi kama ni hivyo hiyo chumvi inapaswa kumwagwa katika milango ya ofisi zote za CCM
 
Mimi hata kwenye restaurant yangu tukifunga na genye ikawa nyingi namweka juu ya meza.mimi popote hata kichakani nshawai.
 
sijaona mantiki ya uliosema ebu elezea hao viumbe wanapitia njia gani kumwingia mtu?pili hiyo chuni inasaidia nini?nahisi hii taarifa ni matokeo ya hisia zako tu hamna ukli wa kisayas
 
Huyu bwana namshangaa kidogo. Swali kwako mkuu; Umewahi kumtongoza mtoto wa mwenye nyumba? Ombi lako likikubaliwa utamwingizaje chumbani kwako kilicho opposite na cha mzee? Jibu ni rahisi tu, meeting point ni chooni. Umewahi kwenda kumtembelea rafiki yako ukamdaka shem? Meeting point ni wapi? Chooni.
Hakuna mahali palipo chaguliwa kwa kazi hiyo. Ni pale convinient na kwa wakati huo. Kama uliwahi kuiba, kwa ajili ya haraka chooni ndo penyewe, mapenzi yakikolea unaleta ndani
 
Back
Top Bottom