Epson L210 Mpyaa

Mchungaji Ritch

Senior Member
Sep 4, 2010
115
19
Epson L210 mpaya ina scanner, copier na printer ila kikubwa zaidi inatumia wino wa nje. Ajabu pevu ni bei yake poa ni laki 5 tu. Ni PM kwa maswali na jinsi ya kuipata nipo Arusha. Picha pia inaprint.
 
Maru kichwa cha habari kinasema mpya au used? i repeat mpyaa. Sema idadi unayohitaji. 0784626616/ 0754626616
 
Zipo cartridge unahitaji za ndani na ni namba ngapi? kama ni kwa ajili ya continous yani wino wa nje upo pia kwa wingi Donnie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom