Enzi za ubachelaaaa

Ntumami

Senior Member
Sep 3, 2010
127
23
Habari wana JF, leo ningependa kukumbushana maisha tuliyopitia katika kipindi ukiwa bachelor.... yaani zile experience za ubachelor unazozikumbuka ambazo ukiwa kwenye Ndoa hutarajii sana kukutana nazo

teh teh teh kwa kuanza

1. kula canteen karibu milo yote
2. chakula kikuu chako kuwa chips mayai kwa kuwa zinapatikana kwa urahisi zaidi maeneo mengi ya mijini
3...........
4.........

endelea na wewe
 
kuleta mademu kibao room mpaka unagonganisha magari halafu ww unasepa kiaina duh,,
 
Hahahahahahahahahah
ndizi si spesho ya hiyo maneno bana
ikivunjikia

haya bwana ntajaribu
by the way ndiz mbiv mbichi?
saizi ya kati sio mbichi wala sio mbivu,ila hebu njoo chemba(PM) unajua kuna mambo nataka nikucoach kabla ya kufanya hiyo kitu.Nalog off
 
Mmmh mwiziiii we c ndo uni pm kwani c ni free of charge hapa jamvini?
U made ma day anyways

saizi ya kati sio mbichi wala sio mbivu,ila hebu njoo chemba(pm) unajua kuna mambo nataka nikucoach kabla ya kufanya hiyo kitu.nalog off
 
kulala nje ya home weekend nzima kisa hakuna wa kukuuliza.... Hii nimeiona kwa jamaa yangu mmoja yuko mbali kidogo na mji kuna guest house moja town kaizoea kaweka kabisa begi la nguo weekend ikifika ansepea town mpaka j3..
 
ubachelor ni mzuri sana hakuna gharama ktk maisha ubaya pale utakapoumwa hakuna msaada ina bidi upate msaada usioutegemea
 
teh teh teh duh hii kali akioa itakuaje sasa?
 
ubachelor ni mzuri sana hakuna gharama ktk maisha ubaya pale utakapoumwa hakuna msaada ina bidi upate msaada usioutegemea

hili nalo neno..... but bachela mzuri anajua kuishi vizuri na mairani... hivi ni mabechelor wangapi huwa wanahudhuria vikao vya mtaa?
 
Back
Top Bottom