Enzi za 1980s akina Halima Mdee wangeitwa na Viongozi Wao wa Dini na kushauriwa Kujiuzulu lakini zama Hizi Michongo huanzia Makanisani!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,039
Ndio unakuta walikuwepo akina Shehe Yahya, Askofu Kulola, Kardinali Rugambwa, Askofu Sepetu nk

Viongozi hawa walikuwa na jukumu la kuwafanya Viongozi wa kisiasa kutokuwa mfano wa kutenda dhambi zinazoonekana

Uwepo wa wabunge wasio na chama bungeni ni dhuluma kwa Wanachama wa vyama Vya Siasa wenye hiyo Haki ya kupeleka wabunge 19 bungeni

Kwa jinsi nilivyomuona Rais Ruto analia pale Ukutani Yerusalemi nilijiuliza sana Kati ya Ndugai, Mahera na Mnyika nani ataenda Yerusalemi maana ni Wagalatia watupu hawa

Yule Chekubati wa Tume Huru naye kakimbizwa Ujerumani kwa matibabu, malipo ni hapa hapa duniani

Tubuni mpate kusamehewa dhambi zenu

Jumaa kareem!
 
Kumbe hao wote ni waumini?
 
Msihamishe magoli!! Mambo yenu ya kipumbavu yamalizeni na DJ.

Viongozi wetu wa Dini msiwahusishe kwenye huo ujinga. Halafu OMBI LENU LA BAWACHA KWA MWENYEKITI WA CCM LIMEFIKIA WAPI?
 
Back
Top Bottom