Mbona mgeni rasmi hamumgusi? AU HAMUMJUI
Katika wachezaji wa generation yake huyu Zamoyoni Mogela ana nafua sana ukilinganisha wa wenzake,hata afya yake sio mbaya sana anag'aa kidogo ukilinganisha wa wenzake wa enzi hizo.Alikuwa anafanya biashara biashara sijui kama bado anaendelea na japo sina uhakika lakini anaweza akawa na nyumba moja,mbili kama sio zaidi hapa mjiniMaisha ya mpira mabaya sana Tanzania, siku hizi Zamoyoni unamkuta anashinda kijiweni na miwani mikubwa anaganga njaa pale Hadees Posta Mpya kwa Kassim Dewji, wakati in real footballing world ya leo baada ya kutandika daluga alitakiwa muda huu awe ana many investments anasimamia. Pengine wakati wao hawakuwa na washauri wazuri.