Aise hii kali kumbe unaweza ukakaa kabla ya lisaa ukatoka ukaingia tena bila kulipa
Aise hii kali kumbe unaweza ukakaa kabla ya lisaa ukatoka ukaingia tena bila kulipa
Aise hii kali kumbe unaweza ukakaa kabla ya lisaa ukatoka ukaingia tena bila kulipa
Sawasawa, ukichukua tiketi unaanzisha stop-watch alaf dk ya 50 unatoka nje, unaenda kuingilia geti lingine unachukua tiketi tena. Unaweza tumia dk100 bure na utakua umemaliza shughuli yako! Uvumilie usumbufu wa dk20 za kutoka na kuingia tena, na ndipo utagundua umeokoa Tsh 500/- tena ya sarafu kwa masaa 2.
UKIONA MWENZIO ANANYOLEWA ....utamu wa ukusanyaji hela ukiwaingia wataanza kukatisha tiketi mlangoni ili tuingie.
kuna mtu alikuwa analipaki anaenda posta kwente shughuli zake jioni anapita anachukua sasa hii imekula kwake.
hahahah atalipa 5000 per day jioni analipitia kama kawa
Hiyo ndo alikuwa anaikwepa huko posta sasa kazi anayo vip mvua imeisha maana nimekusikia unalalamika kuna mvua huko