uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 5,303
- 9,475
Ndani ya muda mfupi Rais wa yanga ameset standard ambazo zinawasumbua sana viongozi wa vilabu vingine hasa Simba na Azam.
Vilabu hivi pinzani na mashabiki wao wanaamini kuwa chanzo Cha mafanikio ya yanga ni uongozi imara na udhamini madhubuti wa Sheik Mansoor (GSM) na hii ndio ukweli ulivyo.
Tangu engineer aanze kujihusisha na Yanga akisajili kupitia kwenye kochi hadi Sasa kwenye meza kubwa yanga imekuwa ikiimarika hatua kwa hatua kutoka kulitawala soccer la Tanzania Sasa inaelekea kulitawala soccer la Afrika.
Hii inafanya vilabu vingine viwaze tutampata wapi kiongozi kama huyu!?wakigeuka upande wanajikuta wako na popati na try nguvu zinawaishia