Eneo la biashara linauzwa

roxna

Member
Jul 24, 2012
66
64
Eneo linapatikana Temeke Usalama njia ya kwenda Mwembeyanga Plot.namba 26,lina ukubwa wa Sqm 465,mtaa wa evaret kwa bei ya Sh.milioni 450.Eneo ni zuri sana na kwa sasa linatumika kwa ajili ya garage linafaa kwa ajili ya uwekezaji...Biashara maelewano karibuni
Kwa mawasiliano: 0655 405783
0713 323848

IMG_20170914_123927.jpg
Hapo ni eneo la ndani
IMG_20170914_124117.jpg
Eneo la ndani
IMG_20170914_124453.jpg
 

Attachments

  • IMG_20170914_124535.jpg
    IMG_20170914_124535.jpg
    48.1 KB · Views: 19
Hivi hizi bei baado zipo za viwanja mil450 sqm 465 Temeke sasa huyu anataka Magu aongezi Kuful ili tuzid kuisoma no
 
Back
Top Bottom