Emmanuel Allute Jr: Polepole hatutakubali kuona ukipingana na Rais wa nchi hadharani. Huyu sio Rais wa CCM

CM 1774858

JF-Expert Member
May 29, 2021
5,032
4,146
|MASWALI KUMI KWA POLEPOLE

Na. Emmanuel Allute Jr,

1. Kwanza nakupa tano kwakuwa umekiri Corona ipo na inaua,Kwataarifa tu duniani,zaidi ya watu 217M wamepatwa na Corona na kati yao watu 4.51M wamekufa,wamo wachungaji,Mapadre,Masista,Ma-alhaji,Wainjilisti.

Maaskofu,Mashekhe,Maimamu,Mitumie,Manabii,wazalendo kama wewe etc |Swali... Je, Wewe kama H|Polepole ndg yangu wa Ukimbu Itigi|Manyoni U-zaidi ya hawa watu 4.51M,Watanzania tunakufahamu bro, Nikweli unao-Wema wa kutosha kuwazidi hawa wote waliolala|kufa?!!

2. Unasema Chanjo ni mkakati wa kibiashara toka kwa Mabeberu fine,Bei ya J&J ambayo tunaitumia ni US$10 sawa na Tshs 22,000 wakati bei ya Chanjo ya homa ya Manjano ( Yellow fever) ambayo nayo ni yamabeberu japo wewe huitazami kwa jicho la kibiashara ni US$ 14 sawa Tshs 30,000 au US$ 50 kwa Wageni, |Swali ...Je, huoni kama kinachokusumbua wewe ni Hisabati tu,Sinikweli kwamba gharama ya Chanjo yako ya manjano ni kubwa kuliko hata hii ya Corona ambayo leo unaipinga? Lakini pia,Pesa inatafutwa,vipi kuhusu Uhai wa binadamu wenzako?

3. Nimekusikia pia unazungumza kuhusu imani,Kibiblia imani ni kuwa na hakika na mambo unayoyatarajia,bayana ya mambo usiyoyaona,Yaani "Unatarajia ila bado hujapokea " |Swali, Je nikweli chanjo tuliyoitarajia kwa imani bado hujaiona au kusikia?,Je Mungu aliyetupa chanjo ya Manjano leo kabadilika na hawezi tena kutupa hizi J&J,Pfezer,Moderna,Covovax,Astra Zeneca etc

4. Nikikutazama usoni ni kama unaghubu hivi sijui ni kwanini ila majibu unayo wewe, |Swali...Je, Nikweli kwamba unataka kutumia ghubu hilo kuonesha nguvu yako ya Ushawishi ulionao kwa gharama ya maisha ya masikini hawa wanaoishi kwa nguvu ya Propaganda tena wasio na hatia yoyote juu yako?Hivi unadhani liability yako kwa Taifa ni kubwa kuliko ile ya Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan?!! Umepatwa na nini bro!!?

5. Mhe Rais ametoa hiari kwenye chanjo na Yeye kama Rais wa JMT akaonesha Umuhimu wa chanjo kwa Kuchanjwa Yeye wa kwanza akionesha kuwa "Chanjo ni "HIARI" lakini "MUHIMI " |Swali... Je, Wewe kama kiongozi mkuu mstaafu wa Chama na Serikali unapata wapi ujasiri wa kuondoa "UMUHIMU" ulioko kwenye Chanjo na kuanza kuhamasisha "HIARI" kinyume na kauli|matendo ya Mkt wa Chama Taifa,Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa JMT?

NB, Nikwamuda gani chanjo inadumu mwilini | Uhai wa binadamu hata kwa dk 30 bado ni wamuhimu sana kuliko elfu 22

|Tanzania Tuna chanjo 15 na zote ni za mabeberu hawahawa ,Twendeni tukachanjwe so far ni Rais ndio anatulipia chanjo zote tangu awali,

...Nitaendelea |Kazi iendelee

alluteemmanuel@gmail.com
 
Polepole Humphrey anachuki za kuondolewa kwenye wenezi alikokuwa anakusanya pesa kwa wagombea,

Alijisahau sana huyu jamaa wakati wa mwendazake na kujiona kama yeye ndio Rais anapigasimu mpaka usiku kwa Wakuu wamikoa,

Sasa kitendo cha kupewa kakiti maalum pale bungeni hajaridhia alitegemea samia angempatia kauwaziri lakini wapi ndio maana ameanza kumfokea hadi Spika wa bunge, hadi Rais,

Polepole amekuwa jeuri sijui kwanini haitwi kwenye kamati kama Gwajima,

Samia yuko mpaka 2025 watulie tu
 
Anachokifanya Polepole ni Uhaini na uuwaji,

Polepole anatusumbua sana kwenye hii nchi, tangu enzi za mwendazake polepole ni Msumbufu Sana,
Anamdharau Samia kwakuwa ni mwanamke

Tunajua wanamtengeneza mtu wao kuwa Rais 2025 ndio maana wanamfanya Samia asiaminike kwa wananchi,
Polepole should stop huo upumbafu wake wakujifanya eti mtetezi wa wanyonge wakati ni hawahawa wameiharibu hii nchi kila kona,
 
Anachokifanya Polepole ni Uhaini na uuwaji,

Polepole anatusumbua sana kwenye hii nchi, tangu enzi za mwendazake polepole ni Msumbufu Sana...
Mbona mnavisingizio vyakijinga jinga? Yani mtu akitofautiana kifikra na Mh Rais mnasema ana mdharau kisa mwanamke? Mbona Ndungulile alikuwa tofauti na Magufuli ila ubunge wake ulikuwa salama?
 
|MASWALI KUMI KWA POLEPOLE

Na. Emmanuel Allute Jr,
_________________________

1. Kwanza nakupa tano kwakuwa umekiri Corona ipo na inaua,Kwataarifa tu duniani,zaidi ya watu 217M wamepatwa na Corona na kati yao watu 4.51M wamekufa,wamo wachungaji,Mapadre,Masista,Ma-alhaji,Wainjilisti, Maaskofu,Mashekhe,Maimamu,Mitumie,Manabii,wazalendo kama wewe etc |Swali... Je, Wewe kama H|Polepole ndg yangu wa Ukimbu Itigi|Manyoni U-zaidi ya hawa watu 4.51M,Watanzania tunakufahamu bro, Nikweli unao-Wema wa kutosha kuwazidi hawa wote waliolala|kufa?!!

2. Unasema Chanjo ni mkakati wa kibiashara toka kwa Mabeberu fine,Bei ya J&J ambayo tunaitumia ni US$10 sawa na Tshs 22,000 wakati bei ya Chanjo ya homa ya Manjano ( Yellow fever) ambayo nayo ni yamabeberu japo wewe huitazami kwa jicho la kibiashara ni US$ 14 sawa Tshs 30,000 au US$ 50 kwa Wageni, |Swali ...Je, huoni kama kinachokusumbua wewe ni Hisabati tu,Sinikweli kwamba gharama ya Chanjo yako ya manjano ni kubwa kuliko hata hii ya Corona ambayo leo unaipinga? Lakini pia,Pesa inatafutwa,vipi kuhusu Uhai wa binadamu wenzako?

3. Nimekusikia pia unazungumza kuhusu imani,Kibiblia imani ni kuwa na hakika na mambo unayoyatarajia,bayana ya mambo usiyoyaona,Yaani "Unatarajia ila bado hujapokea " |Swali, Je nikweli chanjo tuliyoitarajia kwa imani bado hujaiona au kusikia?,Je Mungu aliyetupa chanjo ya Manjano leo kabadilika na hawezi tena kutupa hizi J&J,Pfezer,Moderna,Covovax,Astra Zeneca etc

4. Nikikutazama usoni ni kama unaghubu hivi sijui ni kwanini ila majibu unayo wewe, |Swali...Je, Nikweli kwamba unataka kutumia ghubu hilo kuonesha nguvu yako ya Ushawishi ulionao kwa gharama ya maisha ya masikini hawa wanaoishi kwa nguvu ya Propaganda tena wasio na hatia yoyote juu yako?Hivi unadhani liability yako kwa Taifa ni kubwa kuliko ile ya Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan?!! Umepatwa na nini bro!!?

5. Mhe Rais ametoa hiari kwenye chanjo na Yeye kama Rais wa JMT akaonesha Umuhimu wa chanjo kwa Kuchanjwa Yeye wa kwanza akionesha kuwa "Chanjo ni "HIARI" lakini "MUHIMI " |Swali... Je, Wewe kama kiongozi mkuu mstaafu wa Chama na Serikali unapata wapi ujasiri wa kuondoa "UMUHIMU" ulioko kwenye Chanjo na kuanza kuhamasisha "HIARI" kinyume na kauli|matendo ya Mkt wa Chama Taifa,Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa JMT?

NB, Nikwamuda gani chanjo inadumu mwilini | Uhai wa binadamu hata kwa dk 30 bado ni wamuhimu sana kuliko elfu 22

|Tanzania Tuna chanjo 15 na zote ni za mabeberu hawahawa ,Twendeni tukachanjwe so far ni Rais ndio anatulipia chanjo zote tangu awali,

...Nitaendelea |Kazi iendelee

alluteemmanuel@gmail.com

Labda ni kushauri tu “pamoja na ujinga mwingi ulioandika” umechapia sana kwenye tafsiri ya imani hapo huu, achana na hayo mambo maana yana wenyewe, nyie jadilini siasa tu.
 
Ni kupoteza muda kumskiliza Polepole! Naye ni beberu wa aina yake kama anavyowataja mabeberu wengine. Anatuhumu tu bila ushahidi wowote wa kile anachotuhumu. Hopeless!
 
We fala hujui kitu... Chanjo ya Corona sio permanent immunity... Chanjo zote za Corona unachoma jab zaidi ya moja na baada ya miezi 6 unachoma tena.

Israel ndio wa kwanza kuwachanja watu wengi, now wanatoa boster.

Zanzibar tu hapo wameambia Chanjo na Sinovac sio watumie J&J.

Na Kila variants Mpya za Corona lazima uchome booster au update ya mNRA.

Watu mnaomtetea Samia ni weupe sana kichwani
Big up mzee,

Uzi ufungiwe hapa...umemaliza kila kitu
 
Chanjo ni hiari aisee, huyo bibi yenu kuchanja isiwe shida kwetu. Alafu umesema ametulipia ili tuchanjwe bure, samia anafanya biashara gani kuweza kuwalipia watz 40m? Una uhakika huo mzigo italipa familia ya samia?
 
Polepole anajinoa kwa Uarais 2025,
But nivibaya vile anafanya,
Kama angetokea mtu kama yeye enzi ya Magufuli wangemvumilia?

Polepole bado tunamuhitaji ajisahihishe, Aombe radhi,
 
Inaonekana wewe ndio fala,

Hata kama Watu wanaboost chanjo lakini si tayari wanayo?
Polepole kuhamasisha watu wasichanjwe unaona ni sawa?
Polepole hawezi kubishana na Amir Jeshi mkuu hadharani tukamwacha hvhv,

Kama hataki chanjo akae kimya au arudi Chadema alikotoka,
Nyie wote mnaomtetea Samia hamtumii akili

muwege mnasoma, haya ni maandiko kutoka page ya WHO

Can I have the second dose with a different vaccine than the first dose?

Clinical trials in some countries are looking at whether you can have a first dose from one vaccine and a second dose from a different vaccine. There isn't enough data yet to recommend this type of combination.

Do the vaccines protect against variants?

More studies are needed to assess the effectiveness of the current COVID vaccines against the variants. A growing body of data suggests that most vaccines stimulate enough immunity to retain substantial efficacy against most variants, especially for severe disease, hospitalization, and death. The impact of the variants on efficacy against mild disease and against infection without disease is more impacted than for the more severe outcomes.
The reason vaccines substantially retain protection against disease is likely related to the broad immune response they induce, which means that virus changes or mutations are unlikely to make vaccines completely ineffective. If any of these vaccines become less effective against one or more variants, it will likely be possible to change the composition of the vaccines to protect against these variants, however this will take time and additional data to fully evaluate. Data continues to be collected and analysed on new variants of the COVID-19 virus. WHO will update its guidance when more details are known about the impact of specific variants on specific vaccines. WHO’s SAGE is reviewing this evidence on a regular basis.
While we are learning more, we need to do everything possible to stop the spread of the virus in order to prevent mutations that may reduce the performance of existing vaccines. This means staying at least 1 metre away from others, covering a cough or sneezing in your elbow, frequently cleaning your hands, wearing a mask and avoiding crowded, poorly ventilated rooms or opening a window.

Will COVID-19 vaccines provide long-term protection?

Because COVID vaccines have only been developed in the past months, it’s too early to know the duration of protection of COVID-19 vaccines. Research is ongoing to answer this question. However, it’s encouraging that available data suggest that most people who recover from COVID-19 develop an immune response that provides at least some period of protection against reinfection – although we’re still learning how strong this protection is, and how long it lasts.

Hebu tembeleeni hizi page nyie wenyewe muwasikie hao waliozitengeneza wavojibu

Coronavirus disease (COVID-19): Vaccines{adgroupsurvey}&gclid=Cj0KCQjwpreJBhDvARIsAF1_BU0M9R0EGYe6Xsbtf0u1-2kRlY8I94reVtYSFyWA-r21TBRIK1oGuxsaArKHEALw_wcB
 
Back
Top Bottom