Emergency message for U.S. Citizens issued by the U.S. Embassy in Dar es Salaam

Mzalendo JR

JF-Expert Member
Jun 6, 2012
1,193
515
Unrest in Stone Town (Zanzibar) and Dar es Salaam Today Wednesday, October 17, 2012October 17, 2012
U.S. Embassy Dar es Salaam

Stone Town: The U.S. Embassy alerts U.S. citizens that Tanzanian authorities and local media report demonstrations, roadblocks, tire burning, rock throwing, and rioting in the Darajani, Mbuyuni, and Kisonge districts of Stone Town, Zanzibar this afternoon. Demonstrators are upset due to the apparent disappearance of a Muslim cleric in Stone Town.

Dar es Salaam: Police report a crowd is gathering at Police Headquarters on Ohio Street in central Dar es Salaam, demanding the release of a radical cleric who was arrested with 38 other Muslim clerics this morning. There is also a report of unrest in Mbagala, south of Dar es Salaam

These are fluid situations that may change rapidly. Avoid these areas until the situation has returned to normal and continue to monitor local media for updates.

Click this link for a map of the Stone Town area.

Click this link for a map of downtown Dar es Salaam.

We encourage U.S. citizens to enroll in the Smart Traveler Enrollment Program (STEP) for the most up-to-date safety and security information. Keep all of your information in STEP up-to-date by maintaining your current phone numbers and email addresses where you can be reached in case of an emergency.

You can stay in touch and get updates by checking the U.S. Embassy Dar es Salaam website. You can also get global updates at the U.S. Department of State's Bureau of Consular Affairs website, where you can find the current Worldwide Caution, Travel Warnings, Travel Alerts, and Country Specific Information. Follow us on Twitter and the Bureau of Consular Affairs page on Facebook as well, or you can download our free Smart Traveler iPhone App for travel information at your fingertips.

Current information on safety and security can also be obtained by calling 1-888-407-4747 toll-free in the United States or a regular toll line at 1-202-501-4444 for callers from other countries. These numbers are available from 8:00 a.m. to 8:00 p.m. Eastern Time, Monday through Friday (except U.S. federal holidays).

U.S. Embassy in Dar es Salaam, Tanzania
686 Old Bagamoyo Road, Msasani
Tel: [255] (22) 229-4000; Fax: [255] (22) 229-4721
Email: drsacs@state.gov; http://tanzania.usembassy.gov

After hours U.S. citizen emergencies: call +255-(0)22-229-4000
and wait for the operator to answer.

Source: http://www.wavuti.com/#ixzz29cw759Dm

UZALENDO WANGU: Taarifa kama hizi hutolewa pale tru kunapokua na machafuko katika nchi husika (Host Country), kwa taarifa hii basi pasi na shaka macho ya USA yanaona kinachotendeka na kikundi cha UAMSHO pamoja na Waislamu kama 30% wasioijua hata dini yao inawataka kua na maadili yapi.

Katika nguzo 5 za uislamu kuna kinachowalazimu waislamu kufanya haya tunayoyashuhudia? Hebu njooni enyi mlioshika aya za Mwenyezi Mungu na kuzielewa ipasavyo mnielimishe juu ya hili. Je madai yenu hakuna njia tifauti ya kuyatatua? Au mi nina habari mchanganyiko? Nayasema haya kwa kua Serikali ya Tanzania ilimlea UAMSHO na pale alipoanza kujua kuongea neno lake la kwanza ilikua kumtukana mzazi wake mlezi (Serikali), leo hii anachoma nyumba iliyomlea tangu yu tumboni mwa mama yake kisa ana turubai na mwamvuli(Yu radhi kwa mvua na jua).

ILANI: Tunahutaji mjadala usionyoosha kidole kwa dini ila uelewa wa waumini na imani wanayoiamini kama vinarandana au walipata elimu potofu juu ya hili?

AUDIO:http://www.wavuti.com/4/post/2012/1...su-masheikh-ponda-na-farid.html#axzz29d0sf0XA
 
Hao ni Waislamu WAHUNI kwa mjibu wa watawala wetu na kwa mjibu wa WAISLAMU wenyewe maana mambo wanafanya wao outcome ikija wanasema hao ni WAHUNI sasa tuseme wahuni ni akina nani????
 
Hao ni Waislamu WAHUNI kwa mjibu wa watawala wetu na kwa mjibu wa WAISLAMU wenyewe maana mambo wanafanya wao outcome ikija wanasema hao ni WAHUNI sasa tuseme wahuni ni akina nani????

Kwa hiyo ni wahuni wanaotaka Mhuni mwenzao atolewe nje, au sijaelewa vizuri?
 
na kesho tena mtaandamana kwenda kuwatoa hao mbwa mwitu na ubaya ubaya huko jela??leo unasema si waislamu ila tutasikia kesho mnaandamana kutaka watoke...za kuambiwa changanya na zako low thinker arghhhhhh

Pole bro I can see the feeling! Wanakosa elimu flani katika maisha yao. I wish they know this.........
 
Moods post zangu nilizom-quote kwamwewe mmezipeleka wapi? mmeanza kuchakachua?
 
Last edited by a moderator:
Tutarajie mengi ijumaa baada ya kukariri Quran bila kutafakari kwa kini.....
Ni bora umpe wanao elimu ya darasani kuliku kumpiga na kumlazimisha aende kukariri mafundisho ya dini ambayo hataelewa kwanini anayaenda....
 
Ona mabalozi wa wenzetu walivyo busy kuhakikisha raia wao wanakuwa salama.
Sisi wakwetu kule nje ni kukaa na kusubiri lini mkuu wa kaya anakwenda ili waandae
mapokezi.Hii ndio tanzania bana!
 
Ninachoona mimi ni kwamba Uislam kuhusishwa na matukio mengi ya uvinjifu wa amani Tanzania na dunia unapelekea kuonekana ni watu wenye vurugu na watu wasiostaarabika katika huu ulimwengu wa sasa.Hata wale waumini ambao ni 'moderate' wameanza kuwa na mashaka na dini yao,na jambo kubwa ni kwamba dini ni kama chama cha siasa,kinahitaji waumini wapya.Kama itashindwa kujionyesha mbele ya jamii ni hatari kwamba kitakosa waumini wapya,na hata wale waliopo,wataanza kukimbia,hatimaye dini hiyo itakufa.Tunajua kuwa sio Waislamu wote wenye kupenda vurugu,na wala dini hairuhusu,sasa,ni nafasi ya Waislamu kujitazama na kukemea vikali vitendo hivyo mapema.
 
Mzalendo JR Ndo faida ya Mr Dhaifu kuiacha nchi holela yeye kiguu na njia, eti huyu jamaa ushamba utamtoka lini?
 
Last edited by a moderator:
Wakuu moderators, Paw Silencer PainKiller Roulette @https://www.jamiiforums.com/members/paw.htmlFang Buchanan Cookie naomba kueleweshwa kosa nililofanya mkafuta post zangu zilizokuwa zime-mquote kwamwewe.

Tafadhari, la sivyo uhuru wa kuongea mnauweka rehani na sisi wachangiaji tunapoteza muda wetu kuchangia hapa JF

Ndugu na mini naungana na wewe nami yamenikuta matatizo hayo sio mara moja wala mbili especially nikileta uzi wa mazuri ya rais wangu basi inaondoshwa sasa tujuzwe ni haram kuleta uzi huo hapa jamvini ama ni kitu gani cuz hii ni jamiiforums na sio udini ama chadema forums
 
Last edited by a moderator:
Ninachoona mimi ni kwamba Uislam kuhusishwa na matukio mengi ya uvinjifu wa amani Tanzania na dunia unapelekea kuonekana ni watu wenye vurugu na watu wasiostaarabika katika huu ulimwengu wa sasa.Hata wale waumini ambao ni 'moderate' wameanza kuwa na mashaka na dini yao,na jambo kubwa ni kwamba dini ni kama chama cha siasa,kinahitaji waumini wapya.Kama itashindwa kujionyesha mbele ya jamii ni hatari kwamba kitakosa waumini wapya,na hata wale waliopo,wataanza kukimbia,hatimaye dini hiyo itakufa.Tunajua kuwa sio Waislamu wote wenye kupenda vurugu,na wala dini hairuhusu,sasa,ni nafasi ya Waislamu kujitazama na kukemea vikali vitendo hivyo mapema.

Umesema kweli, mimi ni mmoja wao, nilizaliwa nikiwa Mwislam, kwa baba na mama, mambo mengi ya kihuni niliyoyaona nikiwa Madrasa na scandal za masheikh na walimu wale wa Madrasa walinifanya nikaacha kabisa dini hii, issue ya mwishoi iliyonitoa ni Mazinge na andishi lake la Wakoritho 15:15, nilijiuliza sana, kwanini kama mtu anasema kweli adanganye? Kuanzia hapo, mi sipo nao tena, Uhuni kwenye dini husababisha wafuasi kuachana nao!
 
If foreign dignitaries are also aware of this unrest maybe they'll help sit him down(JK) and talk some sense into him

Another unrest is looming. We want Ramadhani Ighondu behind bars or else the country will be ungovernable
 
kweli bora kuwa mbwa marekani kuliko rais tanzania
jamaa wanajali citizens wao mpaka raha sana, sasa naelewa kwanini watu wanagombania kuwa wamarekani
hata hivyo ntabaki kuwa mtanzania, tena mtanzania haswa, na najivunia utanzania wangu
 
Ninachoona mimi ni kwamba Uislam kuhusishwa na matukio mengi ya uvinjifu wa amani Tanzania na dunia unapelekea kuonekana ni watu wenye vurugu na watu wasiostaarabika katika huu ulimwengu wa sasa.Hata wale waumini ambao ni 'moderate' wameanza kuwa na mashaka na dini yao,na jambo kubwa ni kwamba dini ni kama chama cha siasa,kinahitaji waumini wapya.Kama itashindwa kujionyesha mbele ya jamii ni hatari kwamba kitakosa waumini wapya,na hata wale waliopo,wataanza kukimbia,hatimaye dini hiyo itakufa.Tunajua kuwa sio Waislamu wote wenye kupenda vurugu,na wala dini hairuhusu,sasa,ni nafasi ya Waislamu kujitazama na kukemea vikali vitendo hivyo mapema.
kweli mkuu hata mie ni muslim nashangazwa sana na huu ulevi wa dini na vurugu hizo!
 
mie nikisema mnadhani sijui nini.Hii dini yetu kwa mafunzo yetu haiwezi KAMWE kutoa kiongozi wa kuongoza jamii ya watu wa dini nyingine na wasio na dini.Akamatwe shehe afu tutake kuvamia kituo,inashindikana afu mnavunja mabaa.kwamba humo kwenye baa kuna wakristo na mapolisi tuu?? wandugu vijuzuu tunavyomeza vuko shalo mno.Tutaimbishwa weee kisha tunagonoleshwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom