Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 4,942
- 6,208
Mkuu hata Elon Musk ameanzia hapa hapa Afrika, ndio akahamia Canada baadae USA.Wanasayansi wapo kwa sababu Afrika inabinadamu kama nchi nyingine.Africa inabahati ya kuwa na race zote kuanzia, Black,warabu,wazungu, wahindi.Taatizo la Africa haipo tayari kufanya mapinduzi ya kisayansi.Tunawaza ubwanyenye tu, mfumo uliopitwa na wakati.Una jua mgunduzi wa Lithium ion battery ni Mmoroco? But America na Ulaya na sasa China ndio walionufaika na huo ugunduzi kuliko waafrika wenyewe.Unajua alie boresha fiber optic technology in Mghana, anaitwa Thomas Mensah,Unapozungumzia mkongo kuna mkono wa mwafrika.Mkuu huku kwetu hakuna wanasayansi ila kuna waliosoma sayansi!
Tatizo kubwa tumeamua iwe ilivyo and no one care sio kweli kuwa hakuna Wanasayansi Africa. Hizo ni baadhi ya teknolojia kubwa zilizoleta mapinduzi makubwa dunia vichwa vya Waafrika vimehusika moja kwa moja under western investment.
Elon musk alianza kuunda injin ya Rocket from scratch can you imagine! Wazungu wenzake walikataa kumuuzuia IBM launcher, akaanza utafiti na sasa ni gumzo.Don't underate Africa please,Africa ni kubwa sana kuliko unavyoiwaza.