Elizabeth Michael "Lulu" new hairstyle

Status
Not open for further replies.

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
 

Attachments

  • lulu4.jpg
    lulu4.jpg
    82.6 KB · Views: 11,492
  • lulu1.jpg
    lulu1.jpg
    43.9 KB · Views: 12,022
  • lulu3.jpg
    lulu3.jpg
    37.6 KB · Views: 11,161
  • lulu2.jpg
    lulu2.jpg
    81 KB · Views: 11,085
naona hii style wanaipenda siku hizi kina dada wengi........nilimouna shaa mwanzo then linna na sasa haka katoto.........

hapo kalikuwa kameenda kukod mkoko inaonekana....na kwa kuwa sasa kako 18 tusubiri vingi
 
Torro hauna picha za Birthday yake ya kutimiza 18, nasikia ilikuwa si mchezo, kuona mwandani wala haikuwa ajabu
 
jamanii ilaa katotoo kazuriiii,tuache masiharaa...ilaa sijuii tu kama mashenee naoyo inadai maana....:A S 39:
 

El TOro,hii picha ya huyu mtoto inatusadia nini?au yawezekana una ujumbe flani muhimu ila mimi cjaelewa,au ndo unamtangazia business?tafadhali tusaidie nia yako ya kumuanzishia thread!

zaidi ya hizo picha za 1/2 uchi, hazitusaidii kitu sisi wananchi wenye shida tele!
 
Hilo halina mjadala mkuu katoto kana mvuto wa aina yake!!! Cheki pozi zake hapa!!:amen:

attachment.php

Ni kweli kabisa, haka katoto ingawa kanawadhalilisha wazazi wake lakini ukweli mvuto kanao.Hata wanaokasema vibaya naamini kakiwatamkia "nikute chumba namba fulani", mtu anaweza sahau kuvaa shati.......
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom