Elishilia Kaaya, Joshua Nassari na Vincet Nyerere (Mb) wakutana kwa siri

tukielekea kwenye kampeni za jimboni arumeru mashariki,kuna taarifa za kikao cha siri kilichofanyika leo kati ya mgombea ubunge kwa tiketi ya chadema bw joshua nassari,kampeni manager wa chadema ndugu vicent nyerere na viongozi wa polisi akiwemo kamanda wa operashion DCP issaya Mngulu.bado info hazijanifikia kuhusu nini kiliongelewa huko.naendelea kufuatilia..........stay tuned!
 
Ni kweli kikao hicho kimefanyika Leganga na alitoa barua iliyoandikwa na uhamiaji kwa ajilia ya kupeleka pingamizi la Siyoi kuwa siyo Raia na pia amekabidhi Nyaraka nyingi muhimu kwa ajili ya kuhakikisha ushindi wa CHADEMA kikao kimefanyika Transit in kari bia na CRDB
Chanzo changu cha Habari kimenitonya pia Mwigulu ndiye mpangaji wa mpango mzima maana sekretariet ya Chama haipo na Siyoi,Mwigulu na Kaaya walitekeleza agizo kutoka juu ambalo walipewa kwa simu na Jenista Muhagama

Hapo kwenye red: Nadhani inteligensia ya Mkapa inafanya kazi vizuri zaidi ya hao walio madarakani. CCM wanahitaji maombi maalum!
 
Mbona Mngulu si kamanda wa operations tena baada ya Simon Nyakoro Siro kuchukua mikoba? Mungulu alihamishiwa cid headquarters zamani,,this is a cooked story ama porojo kutusahaulisha na mgomo wa maDR
 
Thanks kaka maana walitaka kutunguiza mjini
 
Kama TBC1 ilivyo station ya propaganda.

Hivi hii TBC hakuna uwezekano wa wanainchi kuipinga na hata ifungwe maana Mi naona haina maana yoyote ktk jamii?

Ile channel na radio yake ni hasara tupu tangu TIDO MHANDO alivyong'atuliwa pale.
 
Ni kweli kikao hicho kimefanyika Leganga na alitoa barua iliyoandikwa na uhamiaji kwa ajilia ya kupeleka pingamizi la Siyoi kuwa siyo Raia na pia amekabidhi Nyaraka nyingi muhimu kwa ajili ya kuhakikisha ushindi wa CHADEMA kikao kimefanyika Transit in kari bia na CRDB
Chanzo changu cha Habari kimenitonya pia Mwigulu ndiye mpangaji wa mpango mzima maana sekretariet ya Chama haipo na Siyoi,Mwigulu na Kaaya walitekeleza agizo kutoka juu ambalo walipewa kwa simu na Jenista Muhagama

njia ya muongo mara zote uwa fupi unajichanganya ile mbaya ni lerganga ama transit ?
 
Ni kweli kikao hicho kimefanyika Leganga na alitoa barua iliyoandikwa na uhamiaji kwa ajilia ya kupeleka pingamizi la Siyoi kuwa siyo Raia na pia amekabidhi Nyaraka nyingi muhimu kwa ajili ya kuhakikisha ushindi wa CHADEMA kikao kimefanyika Transit in kari bia na CRDB
Chanzo changu cha Habari kimenitonya pia Mwigulu ndiye mpangaji wa mpango mzima maana sekretariet ya Chama haipo na Siyoi,Mwigulu na Kaaya walitekeleza agizo kutoka juu ambalo walipewa kwa simu na Jenista Muhagama
:behindsofa::behindsofa::behindsofa::fencing:
 
Hivi hii TBC hakuna uwezekano wa wanainchi kuipinga na hata ifungwe maana Mi naona haina maana yoyote ktk jamii?

Ile channel na radio yake ni hasara tupu tangu TIDO MHANDO alivyong'atuliwa pale.
Usitoke povu mkuu, itajifia yenyewe tu kama magazeti ya Uhuru na Mzalendo. Watu wakishachoka propaganda utadhani wameambiana! Uliza gazeti la Rai lilivyokuwa linapendwa pale mwanzoni, baada ya kujifanya Puppet na Mecernary wa Mafisadi limefikia wapi?
 
Back
Top Bottom