Elimu ya Uraia Kuhusu Katiba Mpya ni Muhimu sana

Elisante Yona

Senior Member
Oct 6, 2009
130
24
Ndugu Wanajamii,

Mimi ninaunga Mkono suala la kuwa na Katiba Mpya.Lakini tatizo langu na Hofu yangu kwa Tanzania wengi hawajui hata hiyo katiba ya zamani ya mwaka 1977 inamapungufu gani?Kwa hiyo ninapenda kuwashauri wana zuoni kuanza kuelimisha umma kama walivyofanya majirani zetu wa kenya.

Nimeshikanisha na ujumbe huu katiba ya zamani,iliyoandikwa kwa kiswahili,

Elisante Yona.
 
Back
Top Bottom