Elimu nyepesi...!!

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
2,469
281
Wadau..... ktk kukaa maeneo flani na vidosho(hasa masista duu..) wana vimaneno vingiiiiiikifika kujadili khabari yetu vidume... ila sikio langu limenasa haya maneno matatu ambayo huwa siyapatpati kiaina...

Husband material:frusty:, wife material:A S 39: na Mamushka...:embarrassed1:

naomba Elimu PLZ...! tusije tukawa twazodolewa mafumboni huku sie tunatunisha msuli kisa tumizungukwa na maua!!

wkend njema... enjoy responsibly!!!
 
Back
Top Bottom