Elezea hisia zako hapa!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Kwanini unatumia mda wako mwingi kuwa katika JF??Nakama unaona mda mwingi unautumia katika JF nini kifanyike ili uweze kufurahia JF?
Je unadhani nijukwaa lipi malidhawa kwako??
 
kwa kweli cjui kwann na2mia mda mwingi jf ila nafarijikaga cana naelimikaga nachekaga sana sometime nakosolewa na me nakosoaga sana at end maisha yanasonga kinachonifuraisha zaidi ninamarafiki wengi wakwenye mouse wengine washikaji ila wametumia id zakizushi wanakuchalenji mwisho unajua ni nani
 
Kwanini unatumia mda wako mwingi kuwa katika JF??Nakama unaona mda mwingi unautumia katika JF nini kifanyike ili uweze kufurahia JF?
Je unadhani nijukwaa lipi malidhawa kwako??
Mkuu Kaka Kiza Asante sana kwa Maswali yako yote ilikuwa uwe wewe wa Kwanza kueleza hisia zako ndipo na sisi tufuatie kueleza hisia zetu. Kwa Ufupi mimi huwa natumia muda mwingi kwenye kwenye Hapa J.F. Haswa kusoma habri za watu waliondika humu kwenye jukwaa la Dini na imani, jukwaa la Siasa, jukwaa la J.F Doctor,jukwaa la Jamii Photos, Jukwaa la Technolgy & Science Forum, na jukwaa la JF Store Enjoy This! hayo Majukwa ndio yanayonivutia sana nikiwa kwenye Computer yangu na jukwaa lingine lakini silo la hapo J.F. ni Jukwa la


kwa upande wa Security

  1. Home >
  2. All Categories >
  3. Computers & Internet >
  4. Security

hapo huwa napata Elimu na kila kitu kuhusu mambo ya Computer Security. Haya na wewe Mkuu KakaKiiza tueleze hisia zako juu ya Jamii forums?
 
Mimi naona kunavitu vyakufanyiwa marekebisho kwani niwatu wengi wanatumia jf kupata elimu habari nk,ila nadhani katija mobile edition wanatakiwa kubadilisha nakuweka option nyingi au waweke mobile web inayofanana na ya PC ila iwe mini web kama wanavyofanya facebook!naiwe inachukua space ndogo!
 
Natumia muda mwingi jf kwa sababu situmii muda mwingi sehemu nyingine.
 
Mimi naitumia sana JF kupata habari za Nchi yangu kwani kila siku napata hbr zinazojili Bongo. Hivyo muda mwingi sana huwa humu kupata habari mbalimbali.
Kifupi kinachonivutia sana humu ni habari za kweli ni nyingi kuliko kusikiliza na kusoma magazeti.
 
Lizzy unasikitika nini?[
avatar16123_29.gif
QUOTE=Lizzy;1501259]Hamna jukwaa malidhawa kwangu!![/QUOTE]
 
Mbona nakukutaga jukwaa la mambo yakikubwa??au unakuwa unapita tu!!
Tafadhali tuheshimiane..sio kila mtu anamaind hayo mambo yenu!!Nwyz kama hukunisoma vizuri ni hivii malidhawa sina ila ukitaka maridhawa ntakutajia!
 
Utafikiria ni mimi vile nawazwa ujue Safari si kifo.


avatar16123_29.gif

Namkumbuka mpenzi!Sijui lini atarudi toka safarini![/QUOTE]
 
Utafikiria ni mimi vile nawazwa ujue Safari si kifo.


avatar16123_29.gif

Namkumbuka mpenzi!Sijui lini atarudi toka safarini!
[/QUOTE]
Hehehe kama yupo labda na yeye anakuwaza hivyo mkiwa mbali mbali!Najua sio kifo ila nashindwa kujizuia!
 
Hehehe kama yupo labda na yeye anakuwaza hivyo mkiwa mbali mbali!Najua sio kifo ila nashindwa kujizuia![/QUOTE]

Lizzy kweli najua kuwa atakuwa ananiwaza ila siku moja nitarudi tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom