EL, RA & JK wamnunua Mwanakijiji!

Status
Not open for further replies.
Ili kumpata tena Mkjj inabidi nasi tumnunue, ila inahitaji tupandishe kidau na kuwapiku wakina Rostam... Hela zinazohitajika ni $4,500. Alinunuliwa kwa $2,600. Nimebahatika kuongea na Mkjj na amesema kiwango hicho alichokitaja kinamtosha kubadili mawazo na kurudi kundini.

Ukiwa kama mkereketwa, mwanamapinduzi na mpenda mema, tuma mchango wako kwa njia ya PayPal, Anuani ni:

udaku@itsbest.co.tz

Dola moja, hadi ishirini kama mchango kwa kila member wa forum hii wanaojali maendeleo ya nchi yao zitatosha kabisa kumrudisha ndugu yetu.

Himahima, chonde chonde, toa mchango wako ndugu!!

SiyoMimi.
 
Ili kumpata tena Mkjj inabidi nasi tumnunue,

Steve sisi hatuna haja ya kumnunua MKJJ kwa sababu, MKJJ hana picha zetu, lakini sisi tunapicha zake na za hao rafiki zake, kwa hiyo yeye na wenzie wanatakiwa kutununua
 
Steve sisi hatuna haja ya kumnunua MKJJ kwa sababu, MKJJ hana picha zetu, lakini sisi tunapicha zake na za hao rafiki zake, kwa hiyo yeye na wenzie wanatakiwa kutununua

BongoLander, je akijitokeza mmojawapo atakaye taka nasi turudi kundini kwa kutununua baada ya kuwa tumenunuliwa na Mkjj na wenzake itabidi aongeze dau hadi dollar ngapi?!

SteveD.
 
Wana JF

RACE ARE NOT FOR THE SWIFT BUT FOR THOSE WHO CAN INDURE TO THE END.

Si wote waendao kasi ni wakimbiaji.
 
Wana JF,

Kama ni meli basi naona mwamba huo hapo mbele, tunaelekea kuugonga. Damn!, nikiwa kama abiria ninasikitishwa sana na vitendo vya hawa watu:

1. Mwanakijiji, attention grabber, Mwanakijiji amekuwa akitafuta umaarufu usio na maana. EL anayo hiyo sifa ya kununua waandishi (sijui km ni kweli) baada ya Mwanakijiji kusikia hayo akaanza kumwandika EL kwa ubaya hata pale aliposema mazuri, kwake yeye EL hafai hafai hafai tuuuu!. Wakati watu wana turn liabilities into assets yeye akawa anaturn assets za Lowassa into liabilities. Alifanya haya akitegemea KUNUNULIWA. PM ni smart wala hajajali, wapambe huku chini ndio wanahangaika na Mwanakijiji, maskini wangejua wala wasingehangaika. Njaa mbaya sana!

2. Hasara, Mzee wa Ar huyu naona amekuwa TOTAL LOSS. Kitendo cha kuanzisha topic ya udaku humu sio cha busara. Kusambaza picha tu (FEKI) hakikuwa jambo la busara, sijui ni nini jamani, Kaka mbona ushakula dili nyingi tu hapo IKULU hataka kama ni ndogo ndogo lakini si mkono ulienda kinywani? sasa yote haya ni nini tena?!

Ninaamini lengo kuu la Mwanakijiji ni kuiua hii forum, sijui kwanini naamini, lakini labda ni kwa sababu ileile iliyomfanya aamue kujiunga na CCM!

Kaeni MACHO si kila king'aacho ni ALMASI.
 
mwanakijiji ni mtu anayetaka umaarufu kwa nguvu zozote, oneni huu upuuzi basi yeye mwenyewe anapenda kweli akiona watu wanamuongelea ! attention seekers hao ! ukiona mtu anaitch (anawashwa) kwa kitu fulani, yaani atafanya chochote akipate !

mtaanza kumlamba miguu sasa hivi !!
 
Wana JF,

Kama ni meli basi naona mwamba huo hapo mbele, tunaelekea kuugonga. Damn!, nikiwa kama abiria ninasikitishwa sana na vitendo vya hawa watu:

1. Mwanakijiji, attention grabber, Mwanakijiji amekuwa akitafuta umaarufu usio na maana. EL anayo hiyo sifa ya kununua waandishi (sijui km ni kweli) baada ya Mwanakijiji kusikia hayo akaanza kumwandika EL kwa ubaya hata pale aliposema mazuri, kwake yeye EL hafai hafai hafai tuuuu!. Wakati watu wana turn liabilities into assets yeye akawa anaturn assets za Lowassa into liabilities. Alifanya haya akitegemea KUNUNULIWA. PM ni smart wala hajajali, wapambe huku chini ndio wanahangaika na Mwanakijiji, maskini wangejua wala wasingehangaika. Njaa mbaya sana!

2. Hasara, Mzee wa Ar huyu naona amekuwa TOTAL LOSS. Kitendo cha kuanzisha topic ya udaku humu sio cha busara. Kusambaza picha tu (FEKI) hakikuwa jambo la busara, sijui ni nini jamani, Kaka mbona ushakula dili nyingi tu hapo IKULU hataka kama ni ndogo ndogo lakini si mkono ulienda kinywani? sasa yote haya ni nini tena?!

Ninaamini lengo kuu la Mwanakijiji ni kuiua hii forum, sijui kwanini naamini, lakini labda ni kwa sababu ileile iliyomfanya aamue kujiunga na CCM!

Kaeni MACHO si kila king'aacho ni ALMASI.

watu watamlamba miguu humu ndani ! na mbaya zaidi anasema kwamba yeye ni disabled ili kuficha ID yake, lakini ni mbaya sana kwake kukaa siku zote hizo akiamini hakuna anayemjua !

watu wakichoka siku, watamtolea uvivu laivu !
just waiting for the day !

Huyu mtu saa nyingine ananishangaza kweli kama anavyojishangaza yeye mwenyewe na kucheka bila sababu !
 
mwanakijiji(na wanaJF woote) kuna ujumbe wako hapa chini FROM ZITTO kabwe !!

Wana JF,
Nilizungumza na mwandishi wa MwanaHalisi na kumweleza ya kwamba siamini kama ajali ile ilipangwa. Ninaamini ni ajali kama ajali nyingine tu. Kuendekeza habari hizi ni hatari sana kwa utulivu wa nchi. Nilimwambia hivyo mwandishi. Ajali ikitokea na nikapoteza maisha, ni mipango ya mungu. Wala sitembei nikiogopa kuwa nitauwawa. Siogopi hata kidogo.
Ni kweli nilipigiwa simu na naibu waziri. Lakini haihusiani hata kidogo na ajali. Mimi kama kiongozi ninawasiliana na viongozi mbalimbali. Sasa kama kiongozi akinipigia simu halafu ikatokea ajali na nikasema yeye ndio kapanga, basi sitakuwa ninawasiliana na viongozi.
MwanaHalisi limekwenda out of the way. Na nimewasialiana na Mhariri wake juu ya hili.

(sasa nataka uje uthibitishe uliyosema wewe mwanakijiji na timu yako nzima ya SMEARING CAMPAIGN)
 
mwanakijiji kama ni kweli wameleta pesa kula

Money ruls the world bwana, kama ni kumnunua Mkjj wanaweza kabisa kununua. Kwani nani alijuia akina Hiza Tambwe, Dr Kaburu, Ngawaiya etc wangenunuliwa. Watu hapa wanasema mwanakijiji anataka kurudishwa kundini, kundini lipi? Mwanakijiji mwenyewe hajawahi kuwa kwenye kundi labda kundi la nyuma ya screen ya computer sasa atarudishwa kwenye kundi gani? No one knows mwanakijiji, anonymos man ambaye amejifungia kwenye kachumba na komputer moja na ka microfone. hamna amjuae bwana kama nipicha watu tulizisave watanunua wangapi kwaajili ya picha? wao si ajabu wana muona mwana kijiji ni kichaa fulani aliyejikatia tamaa kabisa sasa kwa woga anapiga kelele huku kajificha nyuma ya komputer kama Kambwa kanakokimblia nyuma ya nyumba na kubweka.

lakini akili kichwani..."revolutionaries has no price taga..."..hivi kweli mtu mwenye akili anaweza kununuliwa ...

Mkubwa kwani nani kakuambia mwanakijiji anakili? angekuwa na akili asingeweka zile picha hapa na kuzitoa kwa sababu watu wamepiga kelele weka!weka! weka wengine wakampa sifa eti thats why I love this badboy Mkjj! naye sivyokuwa na akili akaweka. watu wakapiga kelele toa!toa!toa, akatoa.

kwani bei ya mtu ni shilingi ngapi....
wanaotaka kumununua au waliomnunua wanapoteza pesa yao kwa kuwa zimewazidi.....

Mbona mwanakijiji ni price less mzee kama sio vry cheap? Hivi kweli mwanakijiji akipewa kazi nzuri sasa hivi akiambiwa mwanakijiji unaenda China kuwa balozi wetu unafikiria atakataa? wewe unafikiri mwanakijiji mwenyewe anapenda kujificha kwenye komputa usiku na mchana kila siku hadi kaandika post zaidi ya 5000? Naapa mwanakijiji wakiamua kumnunua wala haitagharibu kitu ila atakuwa tuu kasaliti.

Rwabugiri, hayo ndiyo mawazo niliyoamka nayo leo.. sijui yataishia wapi lakini nimeamka nikiwa na hisia ya kukata tamaa, na hisia ya kuchoshwa na kujaribu kufikiri mkakati mwingine. Mkakati nilioamka nao leo ni wa kujiunga nao siyo wa mimi kubadilika.

Mwanakijiji mwenyewe huko anakobeba mabox kashakata tamaa watu bado mnamuona shujaa wa wenu. anawadanganya anataka kujiunga nao na si yeye kubadilia nana kawadanganya. wewe ukishajiunga na mafisadi nawe unakuwa fisadi mkuu wala usijidanganye eti naenda kuganga njaa.

kwanini unafikiri naitwa na Sisiemu, nimechagua mwenyewe baada ya kufikiri kwa makini. CCM ndiyo chama pekee kinachoweza kuingoza Tanzania na it is about time to recognize that na kujiunga na watawalao. Wakati mwingine inabidi mtu ucheze ngoma wanayopiga wengine hata kwa kutingisha mguu tu

Unajua mara nyingi mtu ayasemayo ndio yako kichwani mwake. Mwanakijiji si cheap nawaambia. Mwanakijiji hongera sana ku kuamua kutumua uhuru wako kujiunga na CCM chama unachokiona kinakufaa. Mimi sitaki kusema unarudi kundini kwani najua hujawahi kuwa kundini. Naona umeamua kwenda kucheza ngoma ya ufisadi na najua wakigundua kipaji chako cha ulaghai wanaweza kukushirikisha kwenye ulaji wa Kasungura.

Hasara pole sana kwa kulia lia mwenzako kakuzidi ujanja.
 
watu watamlamba miguu humu ndani ! na mbaya zaidi anasema kwamba yeye ni disabled ili kuficha ID yake, lakini ni mbaya sana kwake kukaa siku zote hizo akiamini hakuna anayemjua !

watu wakichoka siku, watamtolea uvivu laivu !
just waiting for the day !

Huyu mtu saa nyingine ananishangaza kweli kama anavyojishangaza yeye mwenyewe na kucheka bila sababu !

Angalia usije na wewe ukapewa masaa 24 kulitaja hadharani jina lake kama ilivyokuwa kwa Dokta Hu/ Game Theory. Halafu ukimchefua zaidi atakupa hadi anwani yake ya nyumbani anakoishi...kama alivyowahi kufanya huko nyuma(of course ilikuwa dead end)
 
Kada,

Its too baaaaad! mtu kufikiri hujulikani, mbaya mbaya tena sana. banking transactions tu zinaweza kufanya uwe traced kiulaini hasa nyie wa nje ya nchi........

Sheria ya hapa hainiruhusu kutaja watu, wala sio nia yangu kwa sababu LIKE THIS TOPIC haisaidii wananachi wa Vijijini, ni UPUUUZI MTUPU kama hii topic hapa.

KWELI KUNA MTU WA KUTAKA KUMNUNUA MWANDISHI WA INTERNET INAYOSOMWA NA 0.0000...% YA WAPIGA KURA?
If any....
That guy must be the dumbest guy in this planet!
 
Du!

Mwanakiji yuko huru kujiunga na chama chochote cha siasa nchini Tanzania, kwa sababu ni haki yake ya kikatiba na utashi wake kufanya hivyo.

Angeweza kujiunga bila kusema na kuendelea kujifanya yu miongoni mwetu. Sasa ametuambia tunajua yu kinyume chetu.

Matumaini yangu ni kwamba msimamo wake utabakia ule ule hata kama akijiunga na SISIEMU, kwa sababu ufisadi si siasa ya chama chochote ila ni Uhuni wa kundi la watu ndani ya chama kilichoko madarakani.

Kama moto wake utazimwa na ngawira za RA,JMK,EL na Mzee wa Kikofia cha Tarabushi, basi mbegu aliyo ipanda,katika shamba la Begakwabega Kijijini, muda wote aliokuwa mstari wa mbele kupambana, itaota na kuzaa 7X77.
Kwa lugha nyingine wanakaya wote waliokuwa ni majirani wapenzi na marafiki wa Mwanakijiji hawatasita kuendeleza moto huo.
Hebu Fikiria kaya zote ndani ya mwenye Kijiji zikipambisha moto dizaini ya mwanakijiji huko SISIEMUNI kutakalika kweli?

Hakuna haja ya watu kuwa na hofu mashaka wasiwasi,kushika tama na kuchanganyikiwa hata kidogo, siasa ndivyo ilivyo wako waingiao kwa kuipenda nchi yao na wako wale waingiao kwa sababu ya kuzipenda nafsi zao.

Kwa vile Siasa ni mbio za masafa marefu kuanza kwa kasi hakuna uhusiano wowote na ushindi,pia kushiriki mbio kwa staili ya kutembea si dalili ya udhaifu wala kushindwa.
Mbio za masafa zi za wale waendao kasi,bali ni za wale wenye kuvumilia hadi mwisho.

Mwanakijiji akijiunga na chama chenye Mafisadi wengi itakuwa ni nafasi nzuri hapa JF na kwingineko kwa wengine wenye mioto ya mapambano kuiwasha na kuendeleza pale alipo ishia na pale ambapo hakuthubutu kugusa.

Mwanakijiji!
Usije shangaa siku ikifika nyama,mifupa nadamu yako ikadhurika kwa moto uliouanzisha wewe mwenyewe kwa mikono yako
 
Duh!

Hivi naomba kuwauliza WATU.

Huwa tunasoma thread toka mwanzo hadi mwisho ndio tuachangia/kujibu au tunakurupuka tu na kuandika tuliyoyaota usiku wa jana?!?
 
Duh!

Hivi naomba kuwauliza WATU.

Huwa tunasoma thread toka mwanzo hadi mwisho ndio tuachangia/kujibu au tunakurupuka tu na kuandika tuliyoyaota usiku wa jana?!?

Kwani wewe huwa unafanyaje...?
 
Angalia usije na wewe ukapewa masaa 24 kulitaja hadharani jina lake kama ilivyokuwa kwa Dokta Hu/ Game Theory. Halafu ukimchefua zaidi atakupa hadi anwani yake ya nyumbani anakoishi...kama alivyowahi kufanya huko nyuma(of course ilikuwa dead end)

nani atakayenipa 24 hrs kutoa jina lake ? hata wakinipa milele its up to me nisema ama nisiseme, lakini statement yangu nadhani ni clear, ASIKAE AKADHANI KWAMBA WATU HAWAMJUI, na sio kama namtisha, hapana !

haya sasa nipeni huo muda sasa, halafu kutaja sitaji, halafu tuone what will i have lost !
 
Kada,

Its too baaaaad! mtu kufikiri hujulikani, mbaya mbaya tena sana. banking transactions tu zinaweza kufanya uwe traced kiulaini hasa nyie wa nje ya nchi........

Sheria ya hapa hainiruhusu kutaja watu, wala sio nia yangu kwa sababu LIKE THIS TOPIC haisaidii wananachi wa Vijijini, ni UPUUUZI MTUPU kama hii topic hapa.

KWELI KUNA MTU WA KUTAKA KUMNUNUA MWANDISHI WA INTERNET INAYOSOMWA NA 0.0000...% YA WAPIGA KURA?
If any....
That guy must be the dumbest guy in this planet
!

yeye sio mwandishi kwanza, he just happen to spend much time on the net, kuandika hadithi za mapenzi na porojo, na si vinginevyo !

yaani huyu mtu anajishusha mwenyewe siku hadi siku !
 
Well put Kada.

Ana COMPILE kutoka kwenye NET na humu kisha anatuma kwenye magazeti.......

Sure mwandishi....

Nyani,

Soma katikati ya mistari, MABOKSI YAMECHOSHA KICHWA CHAKO NINI?
 
FD na Kada nasikitika kuwa mnaamini kuwa mawazo yangu nayapata humu na ya kuwa sina kipaji na ujuzi wa ninachoandika! Kwa kuwajulisha tu so it should be officially marked I am a writer by training and a journalist by training. Siandiki kwa kuigiza sijawahi kumkopi mtu yeyote duniani na kuiba mawazo yake, ila nimewahi kuwa inspired na mawazo ya watu wengi. Vyote ninavyoandika I am the only source (ukiondoa habari ninazoripoti). Lakini mawazo yangu ni mawazo yangu na ninasikitika you guys question that! Nina uwezo wa kuandika chochote ninachotaka kuandika kwa namna yoyote ile.

Na miye kuamua kujiunga CCM ni haki yangu na nikiamka masaa machache baadaye nikiamua kuanzisha chama changu cha ruzuku ni haki yangu pia.

Hata hivyo mawazo yote na hoja zote ninazotoa ni za kwangu na mimi mwenyewe nawajibikwa kwazo. Kudai vinginevyo ni kushindwa hoja! Na kada where is my kadi, na halafu believe me, sitishwi, siogopi, na hakuna kitu chochote mtu yeyote anaweza kusema au kufanya kunivunja moyo. Nikiamua kukata tamaa itakuwa ni kwa nafsi yangu mwenyewe.. sipigi magoti kwa mafisadi, ziabudu altare za wezi!.. na kamwe sitatoa sadaka ya sifa kwa mashetani!!!
 
naomba admin,mjadala ufungwe.tujadili suala la ziara ya Muungwana Lindi,Je anaenda kuangalia maendeleo ya watu wa Lindi au hoteli inayojengwa na Mkewe?
 
mwanakijiji(na wanaJF woote) kuna ujumbe wako hapa chini FROM ZITTO kabwe !!

Wana JF,
Nilizungumza na mwandishi wa MwanaHalisi na kumweleza ya kwamba siamini kama ajali ile ilipangwa. Ninaamini ni ajali kama ajali nyingine tu. Kuendekeza habari hizi ni hatari sana kwa utulivu wa nchi. Nilimwambia hivyo mwandishi. Ajali ikitokea na nikapoteza maisha, ni mipango ya mungu. Wala sitembei nikiogopa kuwa nitauwawa. Siogopi hata kidogo.
Ni kweli nilipigiwa simu na naibu waziri. Lakini haihusiani hata kidogo na ajali. Mimi kama kiongozi ninawasiliana na viongozi mbalimbali. Sasa kama kiongozi akinipigia simu halafu ikatokea ajali na nikasema yeye ndio kapanga, basi sitakuwa ninawasiliana na viongozi.
MwanaHalisi limekwenda out of the way. Na nimewasialiana na Mhariri wake juu ya hili.

(sasa nataka uje uthibitishe uliyosema wewe mwanakijiji na timu yako nzima ya SMEARING CAMPAIGN)

Kada nenda kakopi message yangu kuhusu Zitto na ajali na mchango wangu kuhusu mada hiyo.. you'll be suprised to read what I actually wrote.. kukurupuka kubaya. Kama hutaweza kufanya hivyo, nitakusaidia nikiamka, maana kama itabidi nikutafunie pie I'll do that.. maana katika posti yako una imply msimamo wangu kuhusu ile ajali ni tofauti na huo aliousema Zitto hapo.... you are dead wrong.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom