El-nino yaja... Be informed!

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
Here comes ’El Nino’ once again...


TANZANIA will be hit by the El Nino weather phenomenon towards the end of this year, accompanied by heavy rainfall likely to cause serious damage to infrastructure and worsen the food situation, meteorologists have warned.

According to weather experts, Tanzania and other countries in the region face the prospect of an El Nino event in the October-December period, which could also trigger an outbreak of cholera and other diseases.

"An El Nino event would normally be associated with widespread flooding, damage to infrastructure, and an upsurge of waterborne diseases," says a latest assessment report by the Famine Early Warning System Network (FewsNet) .

More than 20 million people in the East African region are already insecure food-wise, mainly due to a combination of the cumulative effects of prolonged drought which has extended into highly-populated areas previously regarded as food secure.

Other chronic factors behind the situation are related to conflict, poor market access, poor livestock cereal terms of trade, security-related market disruptions, and trans-boundary animal diseases, says FewsNet.

"Although it is too early to determine the intensity and duration of the expected El Nino event, in the most likely scenario there will be improved rangeland conditions in the pastoral areas, which could break the cycle of consecutive seasonal failures and allow pastoral livelihoods to recover," adds the report.

A statement issued this week at the 24th Greater Horn of Africa Climate Outlook Forum (GHACOF 24) in Kenya also warned about the prospect of heavy rains in the region.

Said the GHACOF 24 statement: "El Nino phenomena (building up of a large pool of unusually warm waters in large parts of the eastern and central equatorial Pacific Ocean) will be a major feature influencing tropical climate during September to December 2009.

"The regional consensus climate outlook for the September-December 2009 rainfall season indicates increased likelihood of above-normal rainfall over the equatorial western and eastern parts of the Greater Horn of Africa."

The Tanzania Meteorological Agency (TMA) is today expected to issue its own statement on the weather outlook in the coming months.

In a statement earlier this month, the agency also warned about the likelihood of the country being hit by El Nino rains this year.

The statement, issued by TMA Acting Director-General Filbert Tibaijuka, said the El Nino weather phenomenon is likely to last until early 2010.

Experts are already predicting that Dar es Salaam, Coast, Tanga, Lindi, Mwanza, Kagera and Mara regions, plus parts of Kigoma Region, will experience particularly heavy rainfall.

Officials meanwhile said the prospect of heavy El Nino rains has already started to spur government disaster preparedness.

Memories are still raw of the 1997/98 El Nino-related extreme weather events in Tanzania that, apart from causing infrastructure damage, spawned serious disease outbreaks in many parts of the country.

A total of 40,249 cholera cases (2,231 deaths) were reported in Tanzania in 1997, compared with just 1,464 cases (35 deaths) in 1996.


Source:

logo.gif
 
This is really bad news!!!

Wale wenye viunga vya mihogo chanika sijui itakuwaje!! Na sie wa kwenda kuhiji kila mwaka sijui tujipangaje

Kubwa kuliko yote, shida ya el nino itawafanya akina Rostam and EL kuwa most important people kwa sababu misaada itahitajika desperately

Wagombea maskini kaeni mkao wa kuliwa, kufa kufaana

Kesheni mkiomb, maana hamtajua siku wala saa
 
Hizi habari si za kuzipuuza hata kidogo......!
Watanzania tuna kawaida ya kupuuza, angalizo limetolewa mapema kabisa na huenda kufikia Oktoba watu wakawa wamesahau na wengi wakahamia mabondeni na mwishowe tukumbane na dhahma ya "Janga la Kitaifa". Taarifa kama hizi tunajitahidi kusambaza kadiri ya uwezo wetu, ukisoma nawe mfahamishe yeyote aliye nyumbani hasa wale walio katika maeneo ambayo yako katika hatari ya kuathiriwa!
 
walioko mabondeni waondoke , serikali ijiandae kwa hili.

Mbezi Chini/Beach, Kigogo, etc. kote mabondeni, kwajaa kote. Sasa waondoke waende wapi? Huoni ni kazi ya Serikali kujenga njia za maji ili kuepuka disasters - badala ya kukimbilia suluhisho la kijinga la kila msimu wa mvua kuhamisha watu? Mfano, kingo za mto Msimbazi zinaweza kujengwa vizuri, na watu wakaishi kwa amani, n.k.
 
Hii ni nyongeza kwa taarifa zaidi:

Kenya, Tanzania forecast heavy rains from October

By Helen Nyambura-Mwaura

NAIROBI (Reuters) - Kenya and Tanzania are likely to receive heavy rain during the wet season starting in October, which will quench Kenya's parched farm lands and replenish its hydroelectric dams, meteorologists predict.

Over 10 million Kenyans are facing famine due to at least four consecutive seasons of failed rains that have also affected output from tea and coffee farms, important foreign exchange earners for east Africa's biggest economy.

"The expected enhanced seasonal rains are driven by the presence of an evolving El Nino," the Kenya Meteorological Department said in a statement on its website.

"Heavy storms are likely to occur during the season, and more so, during the rainfall peak month of November. However, the levels of enhancement are not likely to reach those that were recorded in 1997/98 period."

El Nino is a phenomenon in which changing sea temperatures in the Pacific Ocean affect weather around the world by bringing drought to some places, heavy storms or harsh winters to others.

The phenomenon caused Kenya to received abnormally heavy rainfall in 1997/98 but Tanzania does not expect a repeat.

"Every El Nino comes with its own characteristics," Philbert Tibaijuka, acting director general of Tanzania Meteorological Agency (TMA) told a news conference.

The current Pacific build-up looks like a mild version of El Nino, which has in the past brought devastation around the globe, according to the United Nations weather agency.

Kenyan meteorologists predict flooding and landslides are likely to occur in parts of western and Central provinces.

Kenya has not had adequate rainfall since 2007, which caused water levels in its dams to fall below desirable levels and forced the country into a water and power rationing programme.

The main electricity producer has closed one plant to free up water for a second station downstream. It has also had to contract a British firm to generate electricity by burning fossil fuels.

But the expected rains will be adequate to replenish the dams and boost power production, especially on the Seven Folks dams, the meteorological department said.

TMA said northern coastal regions like Dar es Salaam, Tanga and Zanzibar and Pemba islands would get normal to above normal rain, as will areas around Mount Kilimanjaro. Some areas in the south could however get below normal rains, TMA added.


Source: Reuters
Date: Thu Aug 27, 2009
 
Acha hizo. Kama unakumbuka waliojenga msimbazi walisimamishwa wakagoma na baadaye Mh. Simba akiwa mbunge wao akawatetea.

Makamba alipokuja Dar alijaribu kuwaondoa wakamshughulikia kitaalamu akachia ngazi. Atakayewasaidia labda Simba aliyewawekea kifua kwa ajili ya kulilia ubunge. Wakifa roho zao na zimlilie yeye.

Lakini serikali haiwezi kuwajibika kwa wapumbavu wanaolala kwenye wetlands. All wetland are specified areas.
 
Mbezi Chini/Beach, Kigogo, etc. kote mabondeni, kwajaa kote. Sasa waondoke waende wapi? Huoni ni kazi ya Serikali kujenga njia za maji ili kuepuka disasters - badala ya kukimbilia suluhisho la kijinga la kila msimu wa mvua kuhamisha watu? Mfano, kingo za mto Msimbazi zinaweza kujengwa vizuri, na watu wakaishi kwa amani, n.k.

Cynic.....hapa si suala la kupiga siasa.....hapa tunazungumzia facts za hatari iliyo mbele yetu na namna ya kujikinga nayo, hizo siasa ziletwe baadaye! Wewe unapewa taarifa za moto, baadala ya kutoka kny jengo...unaanza kusema utoke uende wapi.....?
 
Kwa sisi ambao kiingereza kimetupita kushoto hebu tusome zaidi HAPA

El Nimo kubwa kuikumba Tanzania Oktoba

Na Nora Damian

SERIKALI imetahadharisha juu ya uwezekano wa kuwepo kwa mvua kubwa za El Nino, katika maeneo mengi ya nchini katika kipindi cha kati ya Oktoba na Desemba mwaka huu.

Tahadhari hiyo ilitolewa jana jijini Dar es Salaam na Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), Philipo Marmo, alipokuwa akifungua mkutano wa maandalizi ya kukabiliana na mvua hizo.

Alisema utafiti uliofanywa na mamlaka ya hali ya hewa katika nchi mbalimbali, umeonyesha kuwa Tanzania itakumbwa na mvua hizo kwa kiasi kikubwa.

"Asilimia 60 ya nchi, kwa sasa ina ukame kwa hivyo El Nino inaweza kuwa na manufaa kama wananchi watajiandaa vizuri,"alisema Marmo.

Waziri Marmo alisema madhara ya El Nino ni makubwa ikiwa ni pamoja na uharibifu wa miundombinu, skimu za umwagiliaji, mazao, magonjwa ya milipuko na homa ya Bonde la Ufa.

Hata hivyo alisema athari za El Nino hutofautiana kutoka sehemu moja hadi nyingine na kwamba utafiti huo umeonyesha El Nino ya mwaka huu, itaathiri zaidi Mkoa wa Dar es Salaam, Mashariki na Kaskazini.

Alisema mkutano huo ambao ni wa kwanza kufanyika kwa ajili ya maandalizi ya mvua hizo, umewahusisha maofisa Idara ya Maafa, Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), mikoa na wilaya zitakazoguswa na mvua hizo na mashirika yasiyokuwa ya kiserikali.

Waziri huyo alitoa wito kwa viongozi wa ngazi mbalimbali kuwaelimisha wananchi, kuhusu madhara ya mvua hizo hasa wakazi wanaoishi maeneo ya mabondeni.

Kwa upande wake mwakilishi wa UNICEF, Mohamed Safieldin, aliviomba vyombo vya habari kutoa elimu kwa umma kuhusu athari za mvua za El Nino.


Source: Mwananchi Newspaper
(Gazeti la kesho)
 
Mkuu invisible tunakushukuru sana kwa updates muhimu kama hizi, haya wajameni mwenye macho haambiwi tazama, el nino njoo tukulaki kwani tutakuwa tumekesha kukungoja!
 
sasa sisi wa hapa jangwani serikali inatufikiriaje? serikali itulipe fidia mapema ili tuhame
 
Cynic.....hapa si suala la kupiga siasa.....hapa tunazungumzia facts za hatari iliyo mbele yetu na namna ya kujikinga nayo, hizo siasa ziletwe baadaye! Wewe unapewa taarifa za moto, baadala ya kutoka kny jengo...unaanza kusema utoke uende wapi.....?

Next Level, ...mimi sijui siasa na sina interest. Natoa pendekezo la kitaalamu kulingana na trade niliyosomea. Ndiyo .. wataondoka na kuokoa roho zao ... je mali zao (pamoja na nyumba zao) watabeba? Tutafute ufumbuzi wa muda mrefu na sio kubabaisha babaisha.

Ukweli ni kwamba haya maeno yanakalika. Na ukweli ni kwamba ujenzi wa mitaro (ikiwa ni pamoja na kingo za mito kama Msimbazi, Mbezi, n.k.) ni wajibu wa Serikali.
 
Acha hizo. Kama unakumbuka waliojenga msimbazi walisimamishwa wakagoma na baadaye Mh. Simba akiwa mbunge wao akawatetea.

Makamba alipokuja Dar alijaribu kuwaondoa wakamshughulikia kitaalamu akachia ngazi. Atakayewasaidia labda Simba aliyewawekea kifua kwa ajili ya kulilia ubunge. Wakifa roho zao na zimlilie yeye.

Lakini serikali haiwezi kuwajibika kwa wapumbavu wanaolala kwenye wetlands. All wetland are specified areas.

Hii ni aina ya myopia/nearsightedness
 
Natumaini hizi taarifa na watu wa jiji wanazifanyia kazi, maana mji km kawaida unageuka bahari na magari yanakuwa mitumbwi! Mifereji na njia za maji ambazo bado hazijazibwa...(maana inaelekea kuna mkakati wa kuhakikisha zote zinazibwa) vyote vinafanyiwa kazi ili maji yasiongeze ugumu wa maisha na usafiri huku mjini
 
Kuna daraja eneo la Vingunguti kuelekea Tabata Chang'ombe (Baracuda) linasuasua kuisubiri el nino. I fail to understand what makes the construction slow as if someone is doing a small project at home!!!!

Can anyone tell whats up exactly?
 
Hizi habari si za kuzipuuza hata kidogo......!

Thanks Invisible i heard this news from my Pastor,nadhani ni wakati sasa umefika watanzania tukaanza kujiandaa maana hapo ndo magonjwa ya milipuko hutokea na si hivyo tu wanaoishi mabondeni jamani chonde muanze kutafuta sehamu zingine za kuishi.
 
Back
Top Bottom