El kupambana

MBUTAIYO

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
683
393
Mheshimiwa Lowasa karudi kutoka German jana na kuthibitisha kwamba yuko fiti kiafya tayari kwa mapambano yaliyo mbele yake. Hivi wana JF ni mapambano gani hayo?
 
yakupiga kampen makanisan kwaajili ya uchaguzi 2015 na kumnadi mkwe wake ili aweze kunyakua jimbo la arumeru.
 
Back
Top Bottom