EL kamwaga mboga, JK kamwaga ugali

msabato masalia

Senior Member
Dec 3, 2008
118
20
Kama vile FBI na CIA wkatavyo dili na waarifu na kuwapa witness protections,jamaa anakata dili na CDM,then linakuja bonge la katiba ambalo litaondoa ufalme. Unakuja kuwa Prezidaa kwenye nchi isiyokuwa na chogi tena. JK anatengenezewa immunity(kama rais wa Yemen):crutch:,then EL kishwa habari yake,anabaki kuwa prezidaa wa ving'ora tu( kama hata uprezidaa akiupata in case tunapata tume huru,mwema,mwamunyange,CAG, mwamyika .et al wanapitishwa na bunge).

EL umemwaga ugali,uendapo kwenye masinagogi kutoa misaada,omba tu JK asimwage ugali.
 
actually niliishacommet mara kadhaa...katiba mpya ni suluhisho dhidi ya gamba la ccm....

jk wala hatakiwi kupata shida!
 
Kama vile FBI na CIA wkatavyo dili na waarifu na kuwapa witness protections,jamaa anakata dili na CDM,then linakuja bonge la katiba ambalo litaondoa ufalme. Unakuja kuwa Prezidaa kwenye nchi isiyokuwa na chogi tena. JK anatengenezewa immunity(kama rais wa Yemen):crutch:,then EL kishwa habari yake,anabaki kuwa prezidaa wa ving'ora tu( kama hata uprezidaa akiupata in case tunapata tume huru,mwema,mwamunyange,CAG, mwamyika .et al wanapitishwa na bunge).

EL umemwaga ugali,uendapo kwenye masinagogi kutoa misaada,omba tu JK asimwage ugali.

Huyo EL Kura atapewa na TISS? jukwa gani atasimama kuomba hizo kura
 
Kama vile FBI na CIA wkatavyo dili na waarifu na kuwapa witness protections,jamaa anakata dili na CDM,then linakuja bonge la katiba ambalo litaondoa ufalme. Unakuja kuwa Prezidaa kwenye nchi isiyokuwa na chogi tena. JK anatengenezewa immunity(kama rais wa Yemen):crutch:,then EL kishwa habari yake,anabaki kuwa prezidaa wa ving'ora tu( kama hata uprezidaa akiupata in case tunapata tume huru,mwema,mwamunyange,CAG, mwamyika .et al wanapitishwa na bunge).

EL umemwaga ugali,uendapo kwenye masinagogi kutoa misaada,omba tu JK asimwage ugali.

Inaonekana hata ma-steering wenyewe hawamudu vema mchakato utakaowafikisha machweo ya mchezo huu salama. Huyu anautaka Urais na mwingine anataka hakika na usalama baada ya ngwe yake ya Urais kuisha. Mmoja hawezi kuupata Urais bila kujisafisha na kuendelea kuwa ndani ya chama chake na mwingine hawezi kuwa salama kwa majeruhi na usaliti aliomfanyia mwenzie ndani ya chama na serikali yao.

Mbaya zaidi ni kuwa, kuchelewa kufanyika kwa maamuzi kunaendelea kumpa nafasi mmojapo kuzidi kujidhatiti na kujijenga ndani na nje ya chama, serikali na jamii kiasi kwamba kuna kila dalili kwa sasa jamii kubwa inasikitika naye.

Msabato, nimefurahi kukusoma tena baada ya kitambo kirefu.
 
Kwa vile hii nchi sijui inaenda wapi,EL alistaafu kwa kwa kashfa chafu then leo hii hii eti anaweza kuja kugombea Urais so atamuongoza nani katika hii nchi,na tukae tujue EL akiwa Rais hii nchi tutaishi bila umeme na wala maji....
 
Kumbe tayari El ni rais wa bongo 2015..??tutajua 2 muda ukifika
 
Mkiona mtu anakimbilia ikulu kwa gharama yeyote ile basi huyo mtu muogopeni kama ukoma - JK Nyerere
 
Back
Top Bottom