EL anapotema lugha ya Ki inglish

Mkasika

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
391
155
watch


http://www.youtube.com/watch?v=j2MTRKdDKXk
 
Acha tuu jamaa sio mchezo eti ...... Anajua na anoconfidence ya hali ya juu na personality pia ------ duuh kiboko
 
Acheni ujinga. Hana lolote na Kiingereza chake cha kimasaai. Bandwidth inasumbua nimeshindwa kuangalia clip nzima lakini hapo mwanzoni tu kachapia kwa kusema "rest you assured" badala ya "rest assured." Kiingereza anajua cha kawaida tu, huwezi kumfananisha na Benjamin Mkapa, Iddi Simba au Juma Mwapachu.

Kwanza hata Edward Lowassa angekuwa anajua Kiingereza, so what? Ufisadi wake unabaki pale pale. Ondoeni upuuzi wenu hapa kujaribu kujipanga kumpa sifa za kijinga. Huyu ni fisadi, ana utajiri mkubwa ambao vyanzo vyake havielezeki. Hafai kuwa kiongozi wa ngazi yoyote hapa Tanzania! Ukweli ndio huo...
 
hana lolote huyo wizi tu na ubinafsi ndo umemjaa!

hapo kapiga rehersal ya kufa mtu na bado maneno hayatoki mpaka abane makalio
 
hana lolote huyo wizi tu na ubinafsi ndo umemjaa!

hapo kapiga rehersal ya kufa mtu na bado maneno hayatoki mpaka abane makalio


Samora wewe!!!!!!!! Kwa hiyo ki-English chake ni mpaka hapo kwnye red. Kaaazi kweli kweli.
 
I go with someone who makes decision and learn from mistakes and go forward! That is a leader the world need. We don't expect angels to come and lead the world. It has to be done by human being and unfortunately human beings make mistakes.
 
Back
Top Bottom