Eid el adhaa

babayah67

JF-Expert Member
Mar 28, 2008
493
79
Wakuu Naomba kuuliza Ni lini itakuwa sikukuu ya Eid al hadji kwa hapa kwetu TZ kwa mujibu wa Bakwata??? Najua wale wengine itakuwa Jumapili
 
Wakuu Naomba kuuliza Ni lini itakuwa sikukuu ya Eid al hadji kwa hapa kwetu TZ kwa mujibu wa Bakwata??? Najua wale wengine itakuwa Jumapili

Iddi ni Juma2 kama ulivyoainisha hapo juu...
But incase hujaridhika then nakushauri utafute waislamu walio jirani nawe maana kwa hapa JF wengi watakujibu kwa kebehi na dhihaka hasa ambao wasio waislamu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom