unaonekana utakuwa mzazi mnoko.....Official language for JF is English and Kiswahili, plz let's follow rules.
Official language for JF is English and Kiswahili, plz let's follow rules.
Thanks Guys but for every one to understand translate it.
Eibara ly'omwaka oguhya = Mwaka 2011 utafahamika kwa jina la
Eibara ly'omwaka oguhya ni TONGANA = Mwaka 2011 utafahamika kwa jina la TONGANA
Nimbendela eilembe = Nawatakia Amani tele
TONGANA maana yake nini
Umekosea mkulu, miaka mingi niliwahi kuishi Bukoba pia na kwa kile khaya kidogo nilichojifunza TONGANA ina maana nyingi labda, lakini literally maana yake halisi ni JITETEE. Ngoja nimuulize mke wangu anipe hakika ya neno hili maana kwetu Tunduru neno hili halipo.TONGANA = Tenda Mema
Eibara ly'omwaka oguhya ni TONGANA.
Nimbendela eilembe.
Official language for JF is English and Kiswahili, plz let's follow rules.